'Kama CCM wanasema kuwa CHADEMA ni chama cha Kikristo na cha Kaskazini, Basi tuseme kuwa CCM ni chama cha Pwani na Cha kiislamu?
Sekretariate ya Chama Cha Mapinduzi (CCM),
1. Mwenyekiti - Jakaya Kikwete - Muislamu
2. Katibu Mkuu - Abdulrahman Kinana - Muislamu
3. Naibu Katibu Bara - Mwigulu Nchemba - Muislamu
4. Naibu Katibu Viziwani - Vuai Ally Vuai - Muislamu
5. Katibu Itika...ni na Uenezi - Nape Nnauye - Muislamu
6. Katibu wa NEC Siasa na uhusiano - Asha Migiro - Muislamu (Zamani mkristo)
7. Katibu wa NEC Uchumi na Fedha - Zakia Meghji - Muislamu
8. Katibu wa NEC Oganizesheni - Mohamed Seif Khatib - Muislamu
Tukija kwenye serikali nyadifa zote muhimu zimekamatwa na waislamu
1. Rais wa Nchi - Muislamu
2. Makamu wa Rais - Muislamu
3. Jaji Mkuu - Muislamu
4. Mkuu wa Usalama wa Taifa Muislamu
5. Mkuu wa Polisi - Muislamu
6. Waziri wa Ulinzi (wizara nyeti na muhimu) Muislamu
7. Rais wa Zanzibar muislam
8. Makam wa Rais Zanzibar wote ni waislam
Wakuu wa Mikoa 65% ni Waislamu.
Wakuu wa Wilaya 80% ni waislamu''

Ili kuondoa dhana hii ambayo imetawala kwa vichwa vya watz wengi kuwa CDM ni chama cha ukabila, wazo langu naomba MBOWE & SLAA wawapishe watu wengine au mmojawapo aachie ngazi na huyo atae shika nafac ya aliyejiengua km SLAA au MBOWE asiwe MCHANGA, kidogo watz wanaweza kuwaelewa nini mnafanya