Mtindo wa kuita miundombinu majina ya watu binafsi pamoja na maraisi ukomeshwe, unaleta kutukuza watu isivyostahili wanapotimiza wajibu wao

Ameshapata stendi tayari
Magufuli alikaa madarakani kwa miaka 5 tu ila ana karibia vitu 10 tayari vina majina yake

Kuna daraja linaitwa Magufuli huko Morogoro, Stendi ya Magufuli, kuna mji wa Serikali unaitwa Magufuli City, Hosteli za Magufuli, kuns kivuko cha Busisi nacho wanakiita Magufuli
 
Tulimlazimisha Ni wingi,

Yawezekana haujui kiswahili vizuri
Na lengo hapo lilikuwa katika wingi kwa kuwa mimi siteui maraisi. Naweza kuwa sijui kiswahili lakini wewe huna lojiki kutaka niseme kwani nilimlazimisha badala ya kwani tulimlazimisha Magufuli kuwa raisi.
 
Lojiki ndo nini kwanza?
Kiswahili hujui , kiingereza hujui.
Ongea kilugha nitakuelewa
 
Toa huu uchafu wako,inakuuma daraja la Wami likipewa jina la Samia mnafiki mkubwa wewe,hujui itachukua miaka mingi Sana Tanzania Kuja kupata Rais mwanamke
 
Magufuli alikaa madarakani kwa miaka 5 tu ila ana karibia vitu 10 tayari vina majina yake

Kuna daraja linaitwa Magufuli huko Morogoro, Stendi ya Magufuli, kuna mji wa Serikali unaitwa Magufuli City, kuns kivuko cha Busisi nacho wanakiita Magufuli
Alikuwa mbinafsi yule Ngosha
 
Utaratibu uliokuwepo hapo awali, ulikuwa na wa kuita majina ya waliofariki, baadaye waka adjust wakaleta kwenye kuita walio staafu, akaja bwana mmoja aka adjust na kuita majina ya watu ambao bado ni active kwenye ofisi za umma!
Hapa ndipo mtafaruku ulipoanzia...
 
Upumbavu wa machawa huo. Mtu anatimiza wajibu wa kikatiba sifa za kijinga anapewa za machawa.
Samia scholarships sijui vitu gani
 
Nadhani tukomeshe kabisa mambo ya kuenzi watu kwa majina ya miundombinu, maana inakuwa kama tunasema hatatokeza mtu mwingine bora kama huyu. Na pia sio fair kwani wapo wengi ambao wanafanya makubwa lakini majina yao hayafiki popote, na orodha yao ni ndefu.
 
Mama Samia hoyeeeee....[emoji23][emoji23][emoji23]kidumu chama cha mapinduzi CCM for life[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241]
 
Mama Samia hoyeeeee....[emoji23][emoji23][emoji23]kidumu chama cha mapinduzi CCM for life[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241]
Mkuu, The Kick zimerudi nini? Najua Bingwa zipo, ila sio mbaya kiasi hicho 🙂

Imagine, eti Shule ya Msingi Ally Hapi.

Shule ya Msingi Jokate Neegelo.

Magufo..pool alikuwa na mihemko ya kijuha kmmmke
 
Imagine, eti Shule ya Msingi Ally Hapi.

Shule ya Msingi Jokate Neegelo.

Magufo..pool alikuwa na mihemko ya kijuha kmmmke
Nasikia Tulia ana mpango wa kumrithi Samia. Akiwa Raisi usishangae watu kupendekeza Ziwa Victoria libadilishwe jina liitwe Lake Dr. Tulia!

Imbombo ilipo pijo na lori na mafikifiki!
 
Baraka zake Mungu baba mwenyezi, Baba, Mwana na Roho mtakatifu, zikae nawe mleta mada daima na milele. Amina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…