Mtiririko wa tarehe zilizotajwa na mwanasheria wa Yanga kuhusu Kagoma unakataa, na ni aibu kwake na Klabu yake

Mtiririko wa tarehe zilizotajwa na mwanasheria wa Yanga kuhusu Kagoma unakataa, na ni aibu kwake na Klabu yake

We kweli tutusa
Yani unashindwa kutofautisha registration na signing of contract
Yan Kwa akili yako mchezaji asaini team 6 af itakayowahi ndo imsajili then iwe sawa tu.
Mkataba ni makabaliano na ni hatua muhimu ya kufanya usajili
kumsainisha mtu makaratasi unayoyaita mkataba hakutoshi kisheria kufanya huo mkataba uwe halali ndugu yangu jaribu kutumia hata akili za kuazima kama zako zote umepeleka utopoloni maana Fountain Gate ndo waliomuuza Kagoma kwenda Simba kwahio wapelekeni Polisi kwa kuwatapeli,lakini Simba haina tatizo lolote maana imekamilisha usajili wa Kagoma vizuri kabisa.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Ndugu mbumbumbu makosa ya mnunuaji na muuzaji katika mkataba hayaondoi uthibitisho kama jambo la kibiashara lilifanyika labda u ukane uo mkataba wenye sahihi zenu na dole gumba kwamba amu utambui.

Tena mkataba wenye uthibitisho wa video na picha mnato wakati matukio yote yakifanyika.

Yake mambo ya kumwambia mchezaji wewe sign tu mengine tuachie sisi mmenusurika kwa Lawi, Valentino Mashaka na Awesu Awesu sidhani kama na la Kagoma mtachomoka.

Ao wakina Magori ayo mambo waliyo yaleta katika usajili wenu wa msimu huu ni ya Karne ya 19.

Ata la Benard Morrison yeye na Hans pope wali bebwa na mlungula na Usimba wa baadhi ya watendaji wa Tff na kama Yanga wangeshinda shauri Lile ilikua baadhi ya watendaji ndani ya Tff wawajibishwe.

Wale watendaji walipo fanikisha Lile la Morrison msimu huu wamerudia Tena katika baadhi ya sajili za Simba ila kwasasa nadhani muda wao umeshafika.
Kwa hiyo hata mliposhindwa CAS na B.Morrison kwa mkataba uliochezewa marehemu Hans Pope alikuwepo CAS?. Mlipeleka madudu CAS mkapigwa za uso.
 
Yanga tumechemka hapo pana Ujanja ujanja tunataka kuuficha kama mlikubaliana malipo ni 15m iweje tena ulipe 30m bila makubaliano mengine...pana kitu hakipo sawa hapo..
 
Back
Top Bottom