Mtiririko wa tarehe zilizotajwa na mwanasheria wa Yanga kuhusu Kagoma unakataa, na ni aibu kwake na Klabu yake

We kweli tutusa
Yani unashindwa kutofautisha registration na signing of contract
Yan Kwa akili yako mchezaji asaini team 6 af itakayowahi ndo imsajili then iwe sawa tu.
Mkataba ni makabaliano na ni hatua muhimu ya kufanya usajili
kumsainisha mtu makaratasi unayoyaita mkataba hakutoshi kisheria kufanya huo mkataba uwe halali ndugu yangu jaribu kutumia hata akili za kuazima kama zako zote umepeleka utopoloni maana Fountain Gate ndo waliomuuza Kagoma kwenda Simba kwahio wapelekeni Polisi kwa kuwatapeli,lakini Simba haina tatizo lolote maana imekamilisha usajili wa Kagoma vizuri kabisa.
 
Reactions: Tui
Kwa hiyo hata mliposhindwa CAS na B.Morrison kwa mkataba uliochezewa marehemu Hans Pope alikuwepo CAS?. Mlipeleka madudu CAS mkapigwa za uso.
 
Yanga tumechemka hapo pana Ujanja ujanja tunataka kuuficha kama mlikubaliana malipo ni 15m iweje tena ulipe 30m bila makubaliano mengine...pana kitu hakipo sawa hapo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…