DOKEZO Mtoto adaiwa kulawitiwa na Mwalimu na kupewa biskuti na soda. Familia yaomba msaada

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Makubwa!!! Kwa hio unashauri nini!!? Kusiwe na walimu wala askari!!? 😅
 
Serikali ipo, mpelekeni mahakamani naye akawajambie wenziwe wanaomsubiri huko jela ya maisha
 
Naomba radhi kuchelewa kujibu. Tayari tulipokea ambapo, Mhe Waziri wa Mambo ya Ndani alianza mara moja kufanyia kazi. Tunaendelea kufuatilia na pia, tayari kuna taarifa za hatua zilishatolewa. Tuendelee kupaza sauti Kila mmoja aseme na wanaomzunguka kuhusu ulinzi na ufuatiliaji wa watoto. Shukrani.

Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
 
leo nimesikia taarifa mmoja wa ndugu wa mtoto (mjomba nahisi) kakamatwa ana hisiwa

Na Mama Mtu akamatwe for criminal negligence and child trafficking for sexual exploitation. Kazaa zaa ovyo hajali mtoto na kamuuza kingono.

Yeye na Mamaake (bibi) kwa mara ya kwanza wameoana sphincter za mtoto zimekata siku alipofunuliwa na daktari. Eti walikuwa hawajawi kumcheki. Huo ni uzembe au ni uongo wa mchana. Nani alikuwa anamsafisha akijinyea ? Wanaficha nini, walimuuza mtoto?

Bibi anasema tatizo limejitokeza muda mrefu, Cuban anatembea kama ana majipu, anajinyea non stop. Alipomkalisha kumhoji akaona akimkagua zaidi mtoto atajisikia vibaya. Mtoto wa miaka 7 you are worried about hurting his feelings ?

Unbroken vicious cycle, bibi alizaa zaa ovyo bila sense of responsibility kumfunza binti yake chochote, mama Cuban nae akazaa zaa ovyo bila role model, kijukuu nacho kikaachwa kijitegemee kwa chakula na vinywani kama mbwa koko kula kwa kuokoteza barabarani na shuleni.

Rectal sphincter muscle za mtoto mpaka zinakata hujawahi kujali kumcheki, utakuwa unamuuza au una uzembe jinai, aggravated criminal neglect, willful disregard for the safety of a minor, child sex trafficking and accessory to child sodomy by a parent.
 
Mfanyie tukio huyo mbwa lakini hakikisha unamkumbusha
 
Mjukuu wangu nimemtoa hizi kwenye hizi shule zenye baadhi ya waalimu wenye changamoto ya afya ya akili na kumpekeka shule ya Wasabato yenye waalimu wa like watupu.
Huyo Mwalimu kifungo Cha maisha kina mhusu na huko Segerea afanyiziwe mara mia zaidi.
L'lana qum
 
Mhe. Waziri nakusalimu. Pongezi kwako na wizara yako kwa kufuatilia mambo yanahusu wizara yako.
Nina swali, hivi kama ilivyo miongozo ya usalama kwenye miundombinu ya umma na binafsi, kuna muongozo unahusu usalama wa watoto? Mfano kuna mipngozo ya OSHA na moto.
Kwamba vitu kama mabweni na madarasa viweje.
Kwangu mimi ni ajabu sana shule kuwa na mazingira ya faragha kiasi kwamba mwalimu anaweza kuwa peke yake na mtoto, hapa naongea kama hayo yaliyozungumzwa ni kweli.


Pengine unaweza usijibu kwa kuwa jambo hili liko kwenye uchunguzi, nitaelewa., lakini natamani kujua kama wizara yako inahusishwa kwenye kukagua kamamiundonimbinu inayokusanya watoto ni salama kwa watoto kijamii.
 
Ofcoz kama unataka kumjua mwl iemma nenda insta search for "emma de boy "
Utamuona na watz wameshajaa huko wanamshushiia matusi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wabongo kwa matusi hawajambo, utadhani huyo imma ni kweli kahusika, lol
 
Shukran sana mhe waziri wetu mpendwa 🙏
 
Mhe. Waziri nakusalimu. Pongezi kwako mu. Pongezi kwako na wizara yako kwa kufuatilia mambo yanahusu wizara yako.

Mtoto karepiwa (jinai) akiwa shuleni (elimu), mpaka kachanwa sphincter nyuma (afya), sasa inakuwaje issue ya wizara ya Gwajima ? Hauoni Gwajima mwenyewe kaipiga cross kwenda Mambo ya Ndani ?

Na kama ni issue ya Gwajima, how does she get a pass, kwa nini anapeteshwa na kupongezwa ?

Eti anafuatilia, anafuatilia yangetokea ? Angekuwa mtoto wako kachanwa chanywa nyuma ungesema waziri apongezwe anafuatia ?

Vigezo na viwango vya kuwapima viongozi wa dunia ya tatu viko chini sakafuni. Watu hawajuia majukumu ya serikali na viongozi, upeo mdogo na elimu ya uraia ndogo, watu hawana taarifa, vyombo vya habari vibovu. Viongozi wanapeta. The doom loop continues.
 
Huyo MWALIMU mtuhumiwa anaitwa Emmanuel Mbigilii. Insta account yake hii hapa chini:

 
Subhnallah.
Inna lillah wa inna ilaih rajun
 
Upewe kitengo....jamii imekuwa na tabia ya kuhukumu kwa hisia sana siku hizi....

Kuna jamaa alikuwa anadai hela kwa bosi wake baada ya kufanya kazi ya kuangalia mifugo ya bosi wake kama mwaka mmoja na miezi , alipoanza kumdai bosi wake na kumkomalia, bosi akaja nyumbani na watu waliojitambulisha kuwa ni polisi na yuko chini ya ulinzi kwa kosa la kumlawiti mtoto wa bosi wake....kama sio mbio angekuwa ndani mpaka saizi....
 
Jamani wajasiriamali jitahidini zitengenezwe dolls za bei rahisi zenye joto na very cheap ziwe available kama Ndomu. Ziwe zinaingiliwa ...au zizaminiwe zitolewe Bure na serikali Kila Mahali....watu wamalizie upwiru huko... hizi habari zinaumiza ....sisi wenye watoto ukisikia hivi tumbo linakata chwaaaa inaumiza Kila mahala kumejaa mabaradhuli hakuna Mahali salama Tena kama mwlm,mjomba,baba anamrudi mtt....nashangaa kwnn wasihasiwe yaani ukikutwa unakatwa hiyo kitu asee enough is enough..... Huu ni.upumbavu wangu tu nimewaza Kwa sauti nisamehewe.
 
Hujaelewa tu swali langu, inapaswa kuwa chochote kinachoathiri watoto kiwe wizara yake.
Nimeuliza kama kuna sera inataka ukaguzi au uthibiti wa miundombinu ya shule na sehemu zinazokusanya watoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…