Hili jambo lichunguzwe na haki itendeke pasipo kumuonea au kumpendelea mtu, ila nitoe mtazamo wangu kulingana hili suala lililojitokeza hapa.
Nahitaji kujua mwalimu Imma ana umri gani? Muonekano wake ukoje? Haiingiii akilini eti mtoto wa miaka 6 awe analawitiwa mara kwa mara, kisa anapewa biskuti na soda, afu dalili za kuonesha kaharibiwa kwa tupu ya nyuma ni kujinyea hovyo, ndipo wazazi kustukaa.
Hivi ulawiti ni rahisi kiasi hicho? Huyo mtoto km kweli alikua anaingiliwa hata angeweza kutembea? Huko nyuma kusingekua kunatoa damu? Huyo mwalimu hata angekua na kibamia, plus kutumia kilainishi tena hata iwe Durex huyo mtoto angepata madhara ya kuonekana wazi wazi,
Mtoto wa miaka 6 anaweza kuhimili mikiki ya mtu mzima ktk sex? Tena kupitia tupu ya nyuma?
Hapa kuna jambo, na wala haina kuficha, siku hizi kuna mtindo wa walimu wa kuzushiwa case za ubakaji, ulawiti na mimba kwa wanafunzi.
Hili jambo lichunguzwe kwa weledi ili kubaini na kupata ukweli halisi, na sio kutaka kuumiza na kuua future ya mtu kwa maslahi ya mtu au watu fulaniii.