Mtoto aliyefariki, arudishiwa uhai baada ya kuombewa!

Biblia ni kitabu cha historia za watu wa kale, wajanja wakakaa chini na tuongeze mambo ya kusadikika tukamtawale na tuchukue mali za mwafrica
Subiri siku ya mwisho yaja, ndio utajua ulikuwa hujui.
 
Daktar alithibitisha kama mtoto amekufa??????
 
Kama maombi yanaweza kufufua aliyekufa, mbona hatuoni hizi huduma zikihamishiwa mortuary ili kupunguza machungu ya wafiwa?
 
Daktar alithibitisha kama mtoto amekufa??????
Habari hiyo nimeileta kwako kama ilivyoripotiwa na gazeti hilo linaloaminika duniani.
By the way, sayansi uliyosoma shuleni/chuoni inakuambiaje? Mtu anaweza kuwa hai masaa matatu bila kupumua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…