Mtoto aliyefariki mwaka 2017 adaiwa kufufuka

Kwa hiyo mpaka ukubali?

Nikikupa majibu ambayo huna maarifa nayo, we utajuaje kwamba ni ya kweli?
Nitawauliza wenye maarifa ya majibu hayo. Ila kwa hili nina maarifa nalo.

Mpaka nikubali nini ?
 
Nani alikwambia Uchawi watu hawafundishwi ?

Unataka uthibitishiwe mara ngapi ? Hii mada yenyewe imethibitisha hilo.
Ebu thibitisha uhalisia wa hizo supernatural power
Hili tukio limethibitisha hilo.
Haya wewe unayejua uchawi thibitisha uchawi huo upo
Nithibitishe mara ngapi ?
 
Nani alikwambia Uchawi watu hawafundishwi ?

Unataka uthibitishiwe mara ngapi ? Hii mada yenyewe imethibitisha hilo.

Hili tukio limethibitisha hilo.

Nithibitishe mara ngapi ?
Mada inathibitishaje uchawi upo?

Unahakika gani kwamba tukio hilo ni la kweli na sio uzushi tu kama ule wa mama kujifungua kalungu yeye?
 
Tazama hii video imeeleza process zote za mtu kufanywa msukule
 
Mada inathibitishaje uchawi upo?

Unahakika gani kwamba tukio hilo ni la kweli na sio uzushi tu kama ule wa mama kujifungua kalungu yeye?
Unarudia swali ambalo nimeshakujibu tayari.
 
Hujathibitisha, umesema tu kua mada yenyewe inathibitisha, je huo ndio uthibitisho?
Sasa ili uone kama mada haithibitishi ulitakiwa uikosoe mada kwa elimu na maarifa.
 
Sasa ili uone kama mada haithibitishi ulitakiwa uikosoe mada kwa elimu na maarifa.
Huu ujinga mwingine ambao uko nao kwa muda sasa, kwanini unaweka madai ambayo huwezi kuthibithitisha?

Mada inathibotisha vipi uchawi upo?
 
Huu ujinga mwingine ambao uko nao kwa muda sasa, kwanini unaweka madai ambayo huwezi kuthibithitisha?

Mada inathibotisha vipi uchawi upo?
Nithibitishe mara ngapi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…