Mtoto aliyeibiwa Pwani akutwa Ruaha Morogoro

Aisee embu nipe ABC au kama uzi naomba Utah hapa.... Nilikuwa nje ya nchi sikuwa na muda kupata taarifa nyingi .
Unaweza check hata kwa millarayo.
Ila watu wasiofamika walivamia wanandoa kisha kuwafunga na kuwatumbukiza kwenye chemba na kuiba gari ,lain za uwakala na pin na kuiba mtoto wa miez 7.
 
Future ya huru mtoto imetiwa giza siku ile wazazi wake walipoondolewa duniani.. Unaweza kujiuliza kosa lake ni ninini
Mbay sana ndomana kongo washaanza kuwamaliza maana wameona hawasikiii

Ova
 
Hapo sasa, ukishakuwa mwizi lazima uwe looser
 
Future ya huru mtoto imetiwa giza siku ile wazazi wake walipoondolewa duniani.. Unaweza kujiuliza kosa lake ni ninini
Mkuu kwani wazazi wale waliotumbukizwa ktk karo la kinyesi hawakuokolewa?
 
Kama tunaongozwa na wanasiasa wanaoamini katika huu ushenzi ili kushinda chaguzi mbali mbali, basi tumekwisha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…