Mtoto aliyeibiwa Pwani akutwa Ruaha Morogoro

Mtoto aliyeibiwa Pwani akutwa Ruaha Morogoro

Aisee embu nipe ABC au kama uzi naomba Utah hapa.... Nilikuwa nje ya nchi sikuwa na muda kupata taarifa nyingi .
Unaweza check hata kwa millarayo.
Ila watu wasiofamika walivamia wanandoa kisha kuwafunga na kuwatumbukiza kwenye chemba na kuiba gari ,lain za uwakala na pin na kuiba mtoto wa miez 7.
 
Future ya huru mtoto imetiwa giza siku ile wazazi wake walipoondolewa duniani.. Unaweza kujiuliza kosa lake ni ninini
Mbay sana ndomana kongo washaanza kuwamaliza maana wameona hawasikiii

Ova
 
Uzuri wahalifu wa huku ni wajinga Sana wanaacha traces nyingi ni rahisi Sana hata kuwatrack na kuwapata



Kuna majambazi walivamia elusion za wachina na silaha kabisa wakaiba dhahabu za kutosha, eti wakaiba na laptops😀😀😀


Walidakwa baada ya siku 3 tu, we ushaiba dhahabu laptop tena za nini??


Heko Kwa waliofanikisha mtoto kupatikana
Hapo sasa, ukishakuwa mwizi lazima uwe looser
 
Kama tunaongozwa na wanasiasa wanaoamini katika huu ushenzi ili kushinda chaguzi mbali mbali, basi tumekwisha!
 
Back
Top Bottom