Pole...hilo janga liliwahi kunikuta...Wazazi wenzangu naombeni msaada hapo niweze kuvuka kama Kuna sayansi yoyote nisaidieni nitumie
Mtoto anaharisha, nimeenda hospital wamempa oral lakini naona hali yake kiafya inaporomoka, kula amepoteza hamu ya kula hali, muda mwingine unakuwa unashindwa ununue nini Ili ale
Nitumie mbinu gani mtoto arudi hali yake ya mwanzo
Mkuu kunyonya ashaacha mimba mama Ake amepata baada ya mtoto kuachishwa kunyonya na anatembea vizuri tu, hali yake imebadilika wiki moja hiiPole...hilo janga liliwahi kunikuta...
Njia pekee ya kumnusuru huyo mtoto wa mwaka na miezi 7 ni kumuachisha kunyonya..
Maziwa ya mama yake si salama tena kwa sababu mwili wa mama umeshabadilika mfumo wake kwa sababu ya ujauzito...
Tena hali hiyo kama mtoto ni mdogo sana anaweza kushindwa kutembea...
Muachisheni huyo mtoto nyonyo haraka sana mumpe virutubisho mbadala.
Mimba alipata baada ya kuacha kunyonya mkuu ,mtoto anatembea na alikuwa vizuri tu hali ime change hili wiki ,dogo analia Lia tu na kula hatakiWeka wazi mimba ni miezi mingapi
Fanya hivi
Muachishe mtoto kunyonya maziwa ya Mama
Muweke mbali na mama ake na asilale nae
Muanzishie lishe maalumu uji wa ulezi hakikisha unaweka mbegu za maboga maziwa ya ng,ombe wa kienyeji ya kimasai kabisa kama kuna shangazi au mama ake mdogo alale nae mtoto
Kama mimba changa unashauriwa itoe kama huna uwezo wa kuhudumia huyu ambaye keshakuwepi
Msilale naye kitanda kimoja.Wazazi wenzangu naombeni msaada hapo niweze kuvuka kama Kuna sayansi yoyote nisaidieni nitumie
Mtoto anaharisha, nimeenda hospital wamempa oral lakini naona hali yake kiafya inaporomoka, kula amepoteza hamu ya kula hali, muda mwingine unakuwa unashindwa ununue nini Ili ale
Nitumie mbinu gani mtoto arudi hali yake ya mwanzo
Uongo! Kitu hujui acha kukiongelea’ hakuna uhusiano na mimba na maziwa ya mama. Sema uangalizi wa mama kwa mtoto umepungua. Baba ashike hatamu kumnusuluPole...hilo janga liliwahi kunikuta...
Njia pekee ya kumnusuru huyo mtoto wa mwaka na miezi 7 ni kumuachisha kunyonya..
Maziwa ya mama yake si salama tena kwa sababu mwili wa mama umeshabadilika mfumo wake kwa sababu ya ujauzito...
Tena hali hiyo kama mtoto ni mdogo sana anaweza kushindwa kutembea...
Muachisheni huyo mtoto nyonyo haraka sana mumpe virutubisho mbadala.
Mkuu mtoto anaharisha mnampa dawa hiyo pekee??Wazazi wenzangu naombeni msaada hapo niweze kuvuka kama Kuna sayansi yoyote nisaidieni nitumie
Mtoto anaharisha, nimeenda hospital wamempa oral lakini naona hali yake kiafya inaporomoka, kula amepoteza hamu ya kula hali, muda mwingine unakuwa unashindwa ununue nini Ili ale
Nitumie mbinu gani mtoto arudi hali yake ya mwanzo
Punguza ujuaji, utakuja kuelewa yashakufika! OverUongo! Kitu hujui acha kukiongelea’ hakuna uhusiano na mimba na maziwa ya mama. Sema uangalizi wa mama kwa mtoto umepungua. Baba ashike hatamu kumnusulu
Hiyo haihusiani madam na uzazi wake kufuatana.Mnaharaka mno, mwambie akijifungua aweke kitanzi,asifikiri sifa kizaazaa, sikuhizi uzazi ni kifo....atakufa