Mtoto ana mwaka na miezi 7 na mama yake ana ujauzito ila afya ya mtoto kama inazorota

Mtoto ana mwaka na miezi 7 na mama yake ana ujauzito ila afya ya mtoto kama inazorota

Wasikutishe bwana cha kufanya huyo mtoto muachishe tu kunyonya atumie tu uji wa listen mixer maziwa. Mtoto atakuwa na afya bora na mama yake atakuwa salama

Hilo suala la kuwa asilale na mama yake sijui blaaa blaaa ni nyingi ni myth tu.

Cenario ilinitokea kwangu akiwa na miezi 8 tu akanasa

Tulichokifanya alipofika miezi 11 tukamuachisha tu ziwa mana Ali anza kuharisha mara nyingi kwa siku so tukaona mambo yasiwe mengi.

Tukaanza kumpa maziwa ya ngombe baada ya mwaka na uji flani wa lishe tulikuwa tunasaga mashine

Mtoto alikuwa na afya bora kuliko walio nyonya miaka miwili

Hiyo imetokea tu kama dharura kwahiyo hawa vijana hata ambao hawajui kulea wasikutishe.
 
Mtoto wa Mwaka mmoja na miezi 7 ni mkubwa kabisa. Sidhani kama inauhusiano na mimba aliybeba mama yake. Nenda hospital watakushauri vizuri mzee baba. Ushauri wa huku utakutoa nje ya reli kwa maana kila mtu atatoa ushauri wake kwa namna anavyo ona yeye.... Mtoto atakuwa na shida nyingine tu.
 
Back
Top Bottom