Mtoto ana mwaka na miezi 7 na mama yake ana ujauzito ila afya ya mtoto kama inazorota

Mtoto ana mwaka na miezi 7 na mama yake ana ujauzito ila afya ya mtoto kama inazorota

Walau wewe una akili uangalizi wa mama kwa mtoto umepungua isitoshe huyo mtoto mbona ni mkubwa kabisa watu wanabeba mimba mtoto akiwa na miezi 3-5 wanamnyonyesha mpaka mimba ikifikisha miezi nane kasoro na mtoto hadhuriki wala nini,,

Wataalam wa jf wengi waongo wengine wamekataa mimba na kuzitelekeza huko ila humu wamo wanajifanya baba ushauri,
Kwa bahati nzuri tuna Permanent head Damage ya hivi vitu ujue. Hivyo tunaongea vitu tunavifahamu ile mbaya.
 
Wengine tumeviishi na hatukuona hayo ya mtoto kudhoofu
Hakuna tatizo la kusex wakati mwanamke akiwa ananyonyesha. Kwanza kunyonyesha ni njia ya uzazi wa mpango. Hii inatakiwa mama akijifungua anahakikisha anampa mtoto titi angalau mara tatu usiku. Hawezi kubeba mimba. Ndiyo maana sisi wa zamani kulikuwa na spacing ya mtoto na mtoto maana watoto walilala na mama zao na usiku walikuwa wananyonyesha watoto. Natural Family Planning
 
Bado comment ya To yeye inaonesha alivyo mkomavu
Alikuwa na point nzuri mno lakini uwasilishaji wake mbaya. Sio kauli ya kutoka kwa mwanamke kwamba unafikiri kuzaazaa ni sifa kwahiyo angefanyaje?? Mwaka mmoja na miezi 7 sio mtoto mdogo sana kubeba mimba nyingine.
Tunashauriwa kutumia uzazi wa mpango lakini sio lazima na wengine ni plan zao kuzaa mapema ili wapumzike wabaki kulea tuu.
 
Hakuna tatizo la kusex wakati mwanamke akiwa ananyonyesha. Kwanza kunyonyesha ni njia ya uzazi wa mpango. Hii inatakiwa mama akijifungua anahakikisha anampa mtoto titi angalau mara tatu usiku. Hawezi kubeba mimba. Ndiyo maana sisi wa zamani kulikuwa na spacing ya mtoto na mtoto maana watoto walilala na mama zao na usiku walikuwa wananyonyesha watoto. Natural Family Planning
Uko sawa mkuu japo hiyo natural family planning haifanyi kazi kwa wanawake wote, nachojua kunyonyesha mara kwa mara husaidia kumaintain mwili usifumuke sana
 
Mbona nilikuwa.nanyonyesha 24/7 mkuu na nikaanza period mwezi Tu baada ya kujifungua
 
Si kunyonyesha tu! Unatakiwa mtoto aweliweke titi katika kinywa chake na iwe ni usiku si chini ya mara tatu. Tatizo wanawake wengine usingizi unawachukua kiasi hawanyonyeshi usiku. Nasisitiza ni usiku na iwe si chini ya mara tatu. Na hii inafanyakazi miezi 6 ya mwanzo. Ndiyo maana wengi wa zama hizo tunapishana miaka 2.
 
Si kunyonyesha tu! Unatakiwa mtoto aweliweke titi katika kinywa chake na iwe ni usiku si chini ya mara tatu. Tatizo wanawake wengine usingizi unawachukua kiasi hawanyonyeshi usiku. Nasisitiza ni usiku na iwe si chini ya mara tatu.
Kuna watu tunanyonyesha haswa na bado period kama kawa tena hata mwezi haufiki, na ukizubaa unaweza kupata mimba mtoto akiwa na mwezi 1-2
 
Kuna watu tunanyonyesha haswa na bado period kama kawa tena hata mwezi haufiki, na ukizubaa unaweza kupata mimba mtoto akiwa na mwezi 1-2
Period isikutishe inaweza kuanza hata baada ya mwezi mmoja tangu ujifungue. Nikichomeka
Ndiyo maana mwanamke anaweza kuzaa mara mbili kwa mwaka mmoja. January anajifungua, anakaba ile 3! Anabeba nyingine na December anajifungua mwingine
 
Pole...hilo janga liliwahi kunikuta...
Njia pekee ya kumnusuru huyo mtoto wa mwaka na miezi 7 ni kumuachisha kunyonya..

Maziwa ya mama yake si salama tena kwa sababu mwili wa mama umeshabadilika mfumo wake kwa sababu ya ujauzito...

Tena hali hiyo kama mtoto ni mdogo sana anaweza kushindwa kutembea...

Muachisheni huyo mtoto nyonyo haraka sana mumpe virutubisho mbadala.
Soma vizuri. Mtoto ana mwaka na miezi 7.
 
Wazazi wenzangu naombeni msaada hapo niweze kuvuka kama Kuna sayansi yoyote nisaidieni nitumie

Mtoto anaharisha, nimeenda hospital wamempa oral lakini naona hali yake kiafya inaporomoka, kula amepoteza hamu ya kula hali, muda mwingine unakuwa unashindwa ununue nini Ili ale

Nitumie mbinu gani mtoto arudi hali yake ya mwanzo
Hangaika na hospital. Inawezakana na ugonjwa unamsumbua. Au wewe na mkeo hamjui kumwangalia vizuri. Na usiniambie kuwa mnajua kwa sababu unaweza kudhani unajua kumbe hujui. Hili nimelishuhudia kwa wazazi wengi hasa wanawake wa uswazi. N wazemebe kweli kweli kwenye matunzo ya watoto.
 
Si kunyonyesha tu! Unatakiwa mtoto aweliweke titi katika kinywa chake na iwe ni usiku si chini ya mara tatu. Tatizo wanawake wengine usingizi unawachukua kiasi hawanyonyeshi usiku. Nasisitiza ni usiku na iwe si chini ya mara tatu. Na hii inafanyakazi miezi 6 ya mwanzo. Ndiyo maana wengi wa zama hizo tunapishana miaka 2.
Bora ungesema mchana maana usiku kucha nilikuwa nanyonyesha
 
Period isikutishe inaweza kuanza hata baada ya mwezi mmoja tangu ujifungue. Nikichomeka
Ndiyo maana mwanamke anaweza kuzaa mara mbili kwa mwaka mmoja. January anajifungua, anakaba ile 3! Anabeba nyingine na December anajifungua mwingine
Kuna aunt yangu marehemu ilimkuta na uzuri ilikuwa January.......November mwaka huo huo akashusha mwingine ile alicheza faulo
 
Usiache kumunyonyesha mtoto Kama mimba yako ni Chini ya miezi Saba endelea hivyo hivyo pili unatakiwa sasa kula vyakula vitakavy kupa wew afya nzur Kama vile nyama maharage viazi mchicha samaki nk fany hivyo halaf unatakiwa upate unga wa lishe kwa ajili ya mtoto nasema ivo kasabab hata mm mke Wang ana mimba lakn mtoto ana miez saba kwa sasa aliharish tu kipind mimba umeingia Ila kwa sasa mtoto ana afya njema San alikua amefikia hatua ya kukaa sasa hivi anatambaa halaf pia fika kwa wataam wakupe muongozo vizur
 
😅😅😅ukijichanganya tu unalo suluba yake utaisimulia hadi wajukuu, mi ilinikutaga mtoto miezi 5 kitu imo, nilihenya 🙌
Acha kabisa ndo maana ukienda clinic ya Kwanza Tu dirisha la uzazi WA mpango unalikuta wazi yaani
Utakuwa ulisulubika sio mchezo
Mimi Hadi Leo naogopa kuduu Hadi dogo atoboe 3yrs huko
 
Acha kabisa ndo maana ukienda clinic ya Kwanza Tu dirisha la uzazi WA mpango unalikuta wazi yaani
Utakuwa ulisulubika sio mchezo
Mimi Hadi Leo naogopa kuduu Hadi dogo atoboe 3yrs huko
😅😅😅 kuzaa kipaji acha tu na kadri umri unavyosogea ndivyo kuzaa kunavyoogopesha,
 
Back
Top Bottom