Sorry to say this ila nilikuwa nakuona ni mmoja kati ya watu wanaojielewa humu JF ila comment yako imenifunua uelewa wako mkuu.Mnaharaka mno, mwambie akijifungua aweke kitanzi,asifikiri sifa kizaazaa, sikuhizi uzazi ni kifo....atakufa
Kwa bahati nzuri tuna Permanent head Damage ya hivi vitu ujue. Hivyo tunaongea vitu tunavifahamu ile mbaya.Walau wewe una akili uangalizi wa mama kwa mtoto umepungua isitoshe huyo mtoto mbona ni mkubwa kabisa watu wanabeba mimba mtoto akiwa na miezi 3-5 wanamnyonyesha mpaka mimba ikifikisha miezi nane kasoro na mtoto hadhuriki wala nini,,
Wataalam wa jf wengi waongo wengine wamekataa mimba na kuzitelekeza huko ila humu wamo wanajifanya baba ushauri,
Bado comment ya To yeye inaonesha alivyo mkomavuSorry to say this ila nilikuwa nakuona ni mmoja kati ya watu wanaojielewa humu JF ila comment yako imenifunua uelewa wako mkuu.
Wengine tumeviishi na hatukuona hayo ya mtoto kudhoofuKwa bahati nzuri tuna Permanent head Damage ya hivi vitu ujue. Hivyo tunaongea vitu tunavifahamu ile mbaya.
Hakuna tatizo la kusex wakati mwanamke akiwa ananyonyesha. Kwanza kunyonyesha ni njia ya uzazi wa mpango. Hii inatakiwa mama akijifungua anahakikisha anampa mtoto titi angalau mara tatu usiku. Hawezi kubeba mimba. Ndiyo maana sisi wa zamani kulikuwa na spacing ya mtoto na mtoto maana watoto walilala na mama zao na usiku walikuwa wananyonyesha watoto. Natural Family PlanningWengine tumeviishi na hatukuona hayo ya mtoto kudhoofu
Alikuwa na point nzuri mno lakini uwasilishaji wake mbaya. Sio kauli ya kutoka kwa mwanamke kwamba unafikiri kuzaazaa ni sifa kwahiyo angefanyaje?? Mwaka mmoja na miezi 7 sio mtoto mdogo sana kubeba mimba nyingine.Bado comment ya To yeye inaonesha alivyo mkomavu
Uko sawa mkuu japo hiyo natural family planning haifanyi kazi kwa wanawake wote, nachojua kunyonyesha mara kwa mara husaidia kumaintain mwili usifumuke sanaHakuna tatizo la kusex wakati mwanamke akiwa ananyonyesha. Kwanza kunyonyesha ni njia ya uzazi wa mpango. Hii inatakiwa mama akijifungua anahakikisha anampa mtoto titi angalau mara tatu usiku. Hawezi kubeba mimba. Ndiyo maana sisi wa zamani kulikuwa na spacing ya mtoto na mtoto maana watoto walilala na mama zao na usiku walikuwa wananyonyesha watoto. Natural Family Planning
Mbona nilikuwa.nanyonyesha 24/7 mkuu na nikaanza period mwezi Tu baada ya kujifunguaHakuna tatizo la kusex wakati mwanamke akiwa ananyonyesha. Kwanza kunyonyesha ni njia ya uzazi wa mpango. Hii inatakiwa mama akijifungua anahakikisha anampa mtoto titi angalau mara tatu usiku. Hawezi kubeba mimba. Ndiyo maana sisi wa zamani kulikuwa na spacing ya mtoto na mtoto maana watoto walilala na mama zao na usiku walikuwa wananyonyesha watoto. Natural Family Planning
Uko sawa mkuu japo hiyo natural family planning haifanyi kazi kwa wanawake wote, nachojua kunyonyesha mara kwa mara husaidia kumaintain mwili usifumuke sana
Si kunyonyesha tu! Unatakiwa mtoto aweliweke titi katika kinywa chake na iwe ni usiku si chini ya mara tatu. Tatizo wanawake wengine usingizi unawachukua kiasi hawanyonyeshi usiku. Nasisitiza ni usiku na iwe si chini ya mara tatu. Na hii inafanyakazi miezi 6 ya mwanzo. Ndiyo maana wengi wa zama hizo tunapishana miaka 2.Mbona nilikuwa.nanyonyesha 24/7 mkuu na nikaanza period mwezi Tu baada ya kujifungua
Kuna watu tunanyonyesha haswa na bado period kama kawa tena hata mwezi haufiki, na ukizubaa unaweza kupata mimba mtoto akiwa na mwezi 1-2Si kunyonyesha tu! Unatakiwa mtoto aweliweke titi katika kinywa chake na iwe ni usiku si chini ya mara tatu. Tatizo wanawake wengine usingizi unawachukua kiasi hawanyonyeshi usiku. Nasisitiza ni usiku na iwe si chini ya mara tatu.
Period isikutishe inaweza kuanza hata baada ya mwezi mmoja tangu ujifungue. NikichomekaKuna watu tunanyonyesha haswa na bado period kama kawa tena hata mwezi haufiki, na ukizubaa unaweza kupata mimba mtoto akiwa na mwezi 1-2
Soma vizuri. Mtoto ana mwaka na miezi 7.Pole...hilo janga liliwahi kunikuta...
Njia pekee ya kumnusuru huyo mtoto wa mwaka na miezi 7 ni kumuachisha kunyonya..
Maziwa ya mama yake si salama tena kwa sababu mwili wa mama umeshabadilika mfumo wake kwa sababu ya ujauzito...
Tena hali hiyo kama mtoto ni mdogo sana anaweza kushindwa kutembea...
Muachisheni huyo mtoto nyonyo haraka sana mumpe virutubisho mbadala.
Hangaika na hospital. Inawezakana na ugonjwa unamsumbua. Au wewe na mkeo hamjui kumwangalia vizuri. Na usiniambie kuwa mnajua kwa sababu unaweza kudhani unajua kumbe hujui. Hili nimelishuhudia kwa wazazi wengi hasa wanawake wa uswazi. N wazemebe kweli kweli kwenye matunzo ya watoto.Wazazi wenzangu naombeni msaada hapo niweze kuvuka kama Kuna sayansi yoyote nisaidieni nitumie
Mtoto anaharisha, nimeenda hospital wamempa oral lakini naona hali yake kiafya inaporomoka, kula amepoteza hamu ya kula hali, muda mwingine unakuwa unashindwa ununue nini Ili ale
Nitumie mbinu gani mtoto arudi hali yake ya mwanzo
Bora ungesema mchana maana usiku kucha nilikuwa nanyonyeshaSi kunyonyesha tu! Unatakiwa mtoto aweliweke titi katika kinywa chake na iwe ni usiku si chini ya mara tatu. Tatizo wanawake wengine usingizi unawachukua kiasi hawanyonyeshi usiku. Nasisitiza ni usiku na iwe si chini ya mara tatu. Na hii inafanyakazi miezi 6 ya mwanzo. Ndiyo maana wengi wa zama hizo tunapishana miaka 2.
Kuna aunt yangu marehemu ilimkuta na uzuri ilikuwa January.......November mwaka huo huo akashusha mwingine ile alicheza fauloPeriod isikutishe inaweza kuanza hata baada ya mwezi mmoja tangu ujifungue. Nikichomeka
Ndiyo maana mwanamke anaweza kuzaa mara mbili kwa mwaka mmoja. January anajifungua, anakaba ile 3! Anabeba nyingine na December anajifungua mwingine
Nimeshangaa huo utafiti sijui kautoa wapi aje field aone showKuna watu tunanyonyesha haswa na bado period kama kawa tena hata mwezi haufiki, na ukizubaa unaweza kupata mimba mtoto akiwa na mwezi 1-2
😅😅😅ukijichanganya tu unalo suluba yake utaisimulia hadi wajukuu, mi ilinikutaga mtoto miezi 5 kitu imo, nilihenya 🙌Nimeshangaa huo utafiti sijui kautoa wapi aje field aone show
Acha kabisa ndo maana ukienda clinic ya Kwanza Tu dirisha la uzazi WA mpango unalikuta wazi yaani😅😅😅ukijichanganya tu unalo suluba yake utaisimulia hadi wajukuu, mi ilinikutaga mtoto miezi 5 kitu imo, nilihenya 🙌
😅😅😅 kuzaa kipaji acha tu na kadri umri unavyosogea ndivyo kuzaa kunavyoogopesha,Acha kabisa ndo maana ukienda clinic ya Kwanza Tu dirisha la uzazi WA mpango unalikuta wazi yaani
Utakuwa ulisulubika sio mchezo
Mimi Hadi Leo naogopa kuduu Hadi dogo atoboe 3yrs huko