Mtoto anaeritadi hatakiwi kubaki nyumbani

alikuwepo binadamu kabla ya dini... kama huwezi kufikiri nje ya ulichokaririshwa we ni zaidi ya mfu..
 
na ndio maana wengine walioritadi wanauwawa kwa mateso makali na kukatwa kichwa ili iwe fundisho kwa wengine juu ya kitakachowakuta wakiacha uislam
Dunia ya sasa haingozwi kwa misingi ya uislam. Lkn ukiritadi haki zako za familia uliozaliwa za kidini unakosa. Kwa mfano mirathi, kuoa muislam, kuingia kaburini kwa mwanamme kumzika muislam.yoyote wakiwemo wazee wako
 
Dunia ya sasa haingozwi kwa misingi ya uislam. Lkn ukiritadi haki zako za familia uliozaliwa za kidini unakosa. Kwa mfano mirathi, kuoa muislam, kuingia kaburini kwa mwanamme kumzika muislam.yoyote wakiwemo wazee wako
Siyo kwamba unapoteza haki yako ya kuishi kwa kukatwa kichwa?
 
Mrithi wa Faizafoxy ,hivi bibi yetu yuko wapi?
 
Lete hoja kama alikuwa mkiristo

kwa ambao hatujakaririshwa hatuwezi kusema Adam alikua myahudi,mkristo au muislamkwa maana hiyo miongozo ya izo imani yalikuja baadae sana.Hii ndio tofauti ya kuelewa maandiko ambayo yapo kiushahidi wa kihistoria tofauti na kukaririshwa kwa viboko Madrasa.
 
Uislamu una nguzo kuu tano. Naomba ushahidi kutoka kwenye Quran ukionyesha Adam akifanya hizo nguzo kuu tano.
Hii ni sawa na kuuliza, nyerere alikua rais Tanzania? 1980 alishindana na mpinzani gani ktk siasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…