Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Simpigi katoto kanguBabe please come and beat me. Because being beaten by you is a privilege and affection.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simpigi katoto kanguBabe please come and beat me. Because being beaten by you is a privilege and affection.
😂😂😂😂😂😂 DahKuna siku nilijamba kwa bahati mbaya mbele yake akaniambia nenda kanawe umekunya nikamchunia
Mi mwenyewe nina katoto upareni huko yaani kana miaka minne ila kanafanya na kujibu kanachojisikia.Hakika utakua ulimpeleka mkeo upareni. Kule Kuna tabia Kama za tumbili.
Sijui nimechekeshwa na komenti yako au jina lako😀😀. Anyways watoto tusio ishi nao wana changamoto sana ila cha ajabu ni kama kwa mama zao hamna shida kabisa.Kawaida Sana mkuu kwa mtoto wa umri huo,,kosa lilianzia kwako mwenyewe kumbadilishia mazingira hizo Tabia Mpya ni malezi aliyoyakuta kule Cha kufanya mlee kama mwanzo baada ya muda atarudi kama mwanzo Bado mdogo ila fimbo usitumie Sana mtandike mala Moja Moja ila nikwala iwe mingi,hata wakwangu nilikuwa namfungia ndani muda mwigi Sasa nikaona labda anawezakuwa mjinga nikimfungia nikamruhusu akacheze na wenzake Kila siku baada ya muda mfupi akaanza Tabia Mpya akawa hataki kutumia poti muda wa kunya anatafuta Kona ya nyumba anayamwaga,au unaweza Kuta kinyesi jikoni Kuna siku akakojoa ndani ya ndoo yaani akaanza vijitabia alivyovikuta kwa wenzake Kuna siku nilijamba kwa bahati mbaya mbele yake akaniambia nenda kanawe umekunya nikamchunia.
Kuna mods yule mweupe mnenemnene ni mchaga atakuwa amekasirishwa na sindano ya moto…!naona na mods wameamua kufuta comment yangu ama ilikua offensive labda??
Kaskazini si sehemu salama kwa makuzi ya mtoto lazima awe na mzazi imara sana sana..mtoto ataanza kutukana mapema,mtoto,mtoto unaweza kuta amelawitiwa wee hujui, anaweza vutishwa bangi au kurishwa mirungi kama mzazi hajasimama….bila kusahau mtoto wako anaweza kuanza kunyweshwa pombe akiwa mdogo kabisa kuwa makini…Habari za humu wandugu, natumai wengi wenu hamjambo,
Mimi ni yule yule ndugu yenu niliyekimbia umande kusoma sikuona dili,
Kuna Uzi niliuletaga humu nikijisifia kuwa nimeweza kumlea mwanangu au kumfundiasha kuwa na tabia nzuri akiwa tu na Miaka miwili,
Sasa kuanzia mwezi wa 11. 2023 tulibahatika kutarajia kupata mtoto wa pili hivo kutokana na mambo kubana ili bidi nimsafirishe mke wangu mkoani kwao Kilimanjaro,
Sikumpeleka kwetu kutokana na sababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu, tokea mwezi wa 11 2023 nilimfuata baada ya kujifungua mwaka huu mwezi wa tatu ili bidi niwafuate,
Sasa kinachoniumiza kichwa kwa Sasa ni huyu mtoto wangu wa miaka miwili ni wa kiume, tabia yake imekuwa mbaya, mwanzoni hakuwa na hizo tabia,
Ukimpiga labda tu kakofi anakurudishia hasa mama yake
Kipindi cha nyuma hata nikija na zawadi anapokea na kuweka mezani halafu anarudi kwangu, sasa hivi ni anafungua hapo hapo na kama kinafaa kuliwa anaanza kula.
Siku hizi analia bila sababu hata akiomba kitu ukimwambia subiri anaanza kulilia mwanzoni hakuwa hivo,
Amekuwa mchoyo ukimpa kitu halafu ukaamua kukata anaanza kula mwanzoni hakuwa hivo,
Hata mchana nilikuwa nikimwambia alale alikuwa hamalizi dk15 anakuwa amesinzia lakini Sasa anajifunika shuka na kuanzia kukuchungulia,
Nilikuwa nikimpa kitu anasema Asante baba lakini kwa Sasa sioni tena akifanya hivo
Yaani kiujumla amekuwa mbishi, mama yake amekiri kuwa ni kweli mtoto amebadilika,
Hivo mm nimeamua kukaa na kiboko ndani nikimwambia kitu maramoja nikiona anajivutavuta, namtandika ya makalio au miguuni,
Je? Nipo sahihi au ni mbinu gani nitumie ili niweze kumrejesha kama mwanzoni hata kama itachukua muda mrefu, maana hakuna namna.
Nawasilisha.
Ohoooooooanajifunika shuka na kuanzia kukuchungulia,