Mtoto kawa na tabia isiyonipendeza baada ya kuishi mbali na mimi kwa miezi 3 tu

Mama wa mtoto ndio trainer wa tabia ya mtoto miaka ya mwanzo ya ukuaji. Watoto wa siku hizi tabia hazieleweki na ni za hovyo kwasababu mama zao wapo busy kutafuta hela hawana muda na watoto kwahyo watoto wanajiregulate tabia kwa kucopy popote anachoona kinamvutia ana kuwa na mseto wa tabia za house girl, mtoto wa jirani, mtoto wa mpangaji, mtoto wa mjomba na zote anabeba sababu hakuna wa kuziratibu.

Ukitaka mtoto awe salama miaka hii peleka kwa bibi mzaa baba huwa wanakuwa watata hawadekezi watoto. Na wewe kama baba uwe unafanya close monitoring ya tabia ya mtoto ili kuweza kujua kama ina dosari.

Mtoto anatakiwa kuwa kama kuruta wa JKT awe anarespond ukimwita, anajibu ulimuuliza, anafuata amri utoa na kadhalika, hii kazi si ya lele mama ni kazi ya baba. Mwanamke anayeweza hii kazi ni yule aliyekuzwa familia yenye baba imara ndio utaona anaweza nyoosha mtoto ila hawa wanawake wa siku hizi kwanza picha linaanza wamekuzwa na mama tu upande wa mama yake yaani wajomba tupu. Halafu na yeye anapata ujauzito bila mume wa Ndoa wategemea awe na uwezo wa kulea mtoto?

Mtoto anakuwa hana discipline sababu ya aina ya watu wanaomzunguka na training anazopewa. Mama muda wote ni mtu wa kukumbatia tu mtoto kama mdoli, hana ile tahadhari ya kuharibu mtoto. Kutwa kucheka Cheka na mtoto ujinga na kupiga nae picha za kuweka manyaunyau usoni ili akapost TikTok na Instagram. Useless kabisa.
 
Sijui nimechekeshwa na komenti yako au jina lako😀😀. Anyways watoto tusio ishi nao wana changamoto sana ila cha ajabu ni kama kwa mama zao hamna shida kabisa.
 
naona na mods wameamua kufuta comment yangu ama ilikua offensive labda??
Kuna mods yule mweupe mnenemnene ni mchaga atakuwa amekasirishwa na sindano ya moto…!
 
Pia,jitahidi umwangalie wakati wakuogeshwa eneo la kutolea hajakubwa likosawa huko alikokuwa VIJANA hamnazo sana
 
Kaskazini si sehemu salama kwa makuzi ya mtoto lazima awe na mzazi imara sana sana..mtoto ataanza kutukana mapema,mtoto,mtoto unaweza kuta amelawitiwa wee hujui, anaweza vutishwa bangi au kurishwa mirungi kama mzazi hajasimama….bila kusahau mtoto wako anaweza kuanza kunyweshwa pombe akiwa mdogo kabisa kuwa makini…
Hizo tabia unaweza kumrekebisha huyo bado mdogo kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…