Mtoto miaka 4 apasua kioo cha basi la Shabiby kwa manati

Hii chai, 4 years anawezaje vuta manati na kurusha jiwe kwa umbali kuleta madhara hayo.. Labda kama miaka sio sahihi.
 
Safiiii sana
 
watu wa mbeya sikuhizi wapuuzi sana, sasa hapo mhempelekea makofi bibi yake tu. kuna dc kasulu aliwalamba mboko familia nzima kisa mtoto kuponda gari yake, ila ukikna mtu anatumia jiwe kushambulia mwingine hiyo ni dalili ya umasikini
 
Safi familia nzima kula fimbo hadharani
 
Huyo mtoto ni bonge la asset , ya nini kumlipisha bibi yake hela kwa tukio la mtoto wa mika minne?
Yaani Shabib wanaenda kumdai mtoto wa miaka minne?
 
Dogo awe poti ana kipaji baadae aje acharaze viboko kina Mnyika na Sugu
 
Mnazaa Zara hovyo Kama Mbuzi, mnawapeleka watoto kijijini mnabaki Sinza kufanya umalaya!!!!
 
Bibi CCM mtoto akikua mkubwa Ccm na mmiliki wa mabasi pia Ccm so watajuana wao bana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…