Cassnzoba
JF-Expert Member
- Feb 26, 2022
- 3,661
- 6,913
Apo sawaNna watoto mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Apo sawaNna watoto mkuu.
Safiiii sanaSiku moja tulikuwa tunasafiri kuelekea wilaya ya Kwimba, basi njiani kijana mdogo alirusha dongo kubwa kwenye kioo. Bahati nzuri mimi nilikuwa seat ya mbele nilifunga kioo kwa hivyo liligonga kioo. Tuliposimamisha gari yule kijana na wenzake wawili walikimbia. Wenzangu walishuka na kuwafukuza mpaka kwao, na wakakuta akina mama wamekaa wanasukana nywele. Waliuliza nani mwenye mtoto wao wakakataa kujibu, wenzangu wakawaambia tunampeleka polisi kama hamutaki kujibu, na hapo siyo chini ya kilomita 60 kutoka hapo kijijini. Mama yake ilibidi alijibu haraka maana aliogopa ni gari ya serikali.
Yule mama aliambiwa kama anataka mwanawe asipelekwe kituoni basi akate fimbo amchape mpaka bakora zimkolee. Masikini yule mama alikata fimbo na kumchapa kisawasawa yule mtoto wake, lakini nadhani ilkuwa adabu stahiki kwa yule kijana.
Kwani katungua nazi kwa manati? 😆 😂 😆Dogo ana shabaha hatari!!! 😂😂😂😂😂
Iringa ukimwi humaliza wazazi na watoto kulelewa na bibi/babuNimesikia kuhusu bibi! Baba na mama wa mtoto wapo wapi?
Watu wana poor reasoningKwani katungua nazi kwa manati? 😆 😂 😆
Bus kubwa hivyo chifu
Siyo mama yangu,anabonda kama alivyokua ananibonda,yaani wajukuu wanamuogopa,bwana anabonda!!Watoto wanaolelewa na bibi huwa hawanaga nidhamu
Mama yako hamshindi mama angu..Siyo mama yangu,anabonda kama alivyokua ananibonda,yaani wajukuu wanamuogopa,bwana anabonda!!
Safi familia nzima kula fimbo hadharaniwatu wa mbeya sikuhizi wapuuzi sana, sasa hapo mhempelekea makofi bibi yake tu. kuna dc kasulu aliwalamba mboko familia nzima kisa mtoto kuponda gari yake, ila ukikna mtu anatumia jiwe kushambulia mwingine hiyo ni dalili ya umasikini
Kweli! Kumbe ukimwi unaua hivi!?Iringa ukimwi humaliza wazazi na watoto kulelewa na bibi/babu
Huyo mtoto ni bonge la asset , ya nini kumlipisha bibi yake hela kwa tukio la mtoto wa mika minne?Mtoto wa miaka 4 avunja kioo cha Shabiby kwa manati
Basi la Shabiby Line lililokuwa likitokea Mbeya kwenda Dodoma lilichelewa kwa takriban saa moja na nusu Agosti 14, 2024, baada ya mtoto wa miaka minne wa Kijiji cha Ndolela, Iringa, kuvunja dirisha la basi kwa manati kutokea upande wa pili wa barabara.
Mtoto huyo ambaye pia alisababisha kisa kama hicho hapo awali, alikimbilia kwa bibi yake baada ya usumbufu huo.
Abiria walishuka kumtafuta mtoto huyo ambaye hatimaye alipatikana amejificha. Katika tukio la awali, bibi wa mtoto huyo alilipa Sh170,000 kufidia uharibifu huo.
Basi hilo ambalo awali lilitakiwa kuwasili Dodoma saa 2:30 usiku, lilifika saa 4:15 lilipoelekea.
Ingawa hakuna abiria aliyejeruhiwa, mmoja alikwepa chupuchupu kupigwa na jiwe hilo.
Kuna wasiwasi unaoongezeka kuhusu tabia hatari ya mvulana huyo, ambayo inaweza kusababisha ajali mbaya katika siku zijazo
Credit: DJ Fetty kwa msaada wa The Citizen Tanzania
USSR
Mchawi huyo anakafundisha uchawi hako katotoHuyo Bibi inaonekana ni wa kishua,
Bibi wa Kijijini anatoa Shs 170,000 tena za ghafla tu.