Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Kipaji gani basi likubwa vile?Kuna watu hawapo seriously...
Wengine wanasema et kipaji dooh..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kipaji gani basi likubwa vile?Kuna watu hawapo seriously...
Wengine wanasema et kipaji dooh..
Tena kwa mkono na sio manati, ni target tu mkuu labda kama hujawai kuwinda.Chai hii mkuu yani njiwa na speed ile umpate aaah hapana
Katika utoto wangu nilikuwa nawinda sana ila sijawahi pata hata ndege monks dadeki😂😂Tena kwa mkono na sio manati, ni target tu mkuu labda kama hujawai kuwinda.
Ukitaka kukilenga kitu kinachotembea yahitaji umakini sana.
Sniper ajifunzie kwenye mabasi, mbona sie tulikuwa tunafanyia kwenye chupa zilizotumikaSasa hao ndiyo masniper wa baadaye ,achukuliwe haraka huyo apelekwe makao .
Huyo mtoto ni JAMBAZIi mtarajiwa.Mtoto wa miaka 4 avunja kioo cha Shabiby kwa manati
Basi la Shabiby Line lililokuwa likitokea Mbeya kwenda Dodoma lilichelewa kwa takriban saa moja na nusu Agosti 14, 2024, baada ya mtoto wa miaka minne wa Kijiji cha Ndolela, Iringa, kuvunja dirisha la basi kwa manati kutokea upande wa pili wa barabara.
Mtoto huyo ambaye pia alisababisha kisa kama hicho hapo awali, alikimbilia kwa bibi yake baada ya usumbufu huo.
Abiria walishuka kumtafuta mtoto huyo ambaye hatimaye alipatikana amejificha. Katika tukio la awali, bibi wa mtoto huyo alilipa Sh170,000 kufidia uharibifu huo.
Basi hilo ambalo awali lilitakiwa kuwasili Dodoma saa 2:30 usiku, lilifika saa 4:15 lilipoelekea.
Ingawa hakuna abiria aliyejeruhiwa, mmoja alikwepa chupuchupu kupigwa na jiwe hilo.
Kuna wasiwasi unaoongezeka kuhusu tabia hatari ya mvulana huyo, ambayo inaweza kusababisha ajali mbaya katika siku zijazo
Credit: DJ Fetty kwa msaada wa The Citizen Tanzania
USSR
Swali ni je,alikusudia kulilenga basi hilo? Au kwasababu bus lilikuwa katika movement ndyo likakutana na jiwe?Hitting moving object is not easy
Hahaaaaaa kuna mmoja alinivunjiaga kioo cha gari langu. Nilimlamba makofi kweli. Sasa anaogopa na kuheshimu magari yanayopita barabaraniApigwe viboko hii ndo parenting style ya Africa na inatosha
Siku moja tulikuwa tunasafiri kuelekea wilaya ya Kwimba, basi njiani kijana mdogo alirusha dongo kubwa kwenye kioo. Bahati nzuri mimi nilikuwa seat ya mbele nilifunga kioo kwa hivyo liligonga kioo. Tuliposimamisha gari yule kijana na wenzake wawili walikimbia. Wenzangu walishuka na kuwafukuza mpaka kwao, na wakakuta akina mama wamekaa wanasukana nywele. Waliuliza nani mwenye mtoto wao wakakataa kujibu, wenzangu wakawaambia tunampeleka polisi kama hamutaki kujibu, na hapo siyo chini ya kilomita 60 kutoka hapo kijijini. Mama yake ilibidi alijibu haraka maana aliogopa ni gari ya serikali.Yaani mambo ya viboko watamalizana wenyewe huko nyumbani...
Ila kwa kuwa walitoa 170k hyo inatosha kabisa kujifikilia kuanzia bibi na wote wanaomlea huyo mtoto
Haya Sasa sniper mwingine aliyepotea huyu hapa yaani nchi hii basi tuSniper ajifunzie kwenye mabasi, mbona sie tulikuwa tunafanyia kwenye chupa zilizotumika
Aisee,yani njiwa awe na speed ya 80kph?!80
Unawajua njiwa pori? Kama unawajua na umewahi kuwaona wakiwa kwenye mwendokasi utanielewa.
Mtoto ana haribikiwa!wanakula maisha Sinza
Mkuu sijawahi kupima speed yake ila kwa kusoma huku duniani njiwa wa kufugwa wanafikia hadi 55mph, convert to km/h utapata jibu.Aisee,yani njiwa awe na speed ya 80kph?!
Labda awe Njiwa wa umeme huyo.
😀
Nilifikiria komenti kama hii mkuu!Watoto wa miaka 4 hapa Dar wanmjua SpongeBob SquarePants, Bingo na Bluey tu..😄
Mwenzao huko vijijini tayari anadeal na watu wazima.
Sasa ulikuwa unawinda hewa?Katika utoto wangu nilikuwa nawinda sana ila sijawahi pata hata ndege monks dadeki😂😂
Watoto wetu rimoti mikononi, huwang'oi kwa Bluey.Nilifikiria komenti kama hii mkuu!
🤣
Umewajuaje na ww mkuuWatoto wa miaka 4 hapa Dar wanmjua SpongeBob SquarePants, Bingo na Bluey tu..😄
Mwenzao huko vijijini tayari anadeal na watu wazima.
Nna watoto mkuu.Umewajuaje na ww mkuu