FEBIANI BABUYA
JF-Expert Member
- Mar 5, 2022
- 1,916
- 3,850
Hama MtaaWanajamvi aisee nilimkataa mtoto miaka kama minne imepita.
Sasa ubaya leo kaja na mama yake sehemu ambayo karibu na kwangu, mtoto anafanana na mimi mpaka nimeona aibu nikaangalia pembeni.
Sasa ubaya mama yake sijui kafanya makusudi kahamia huu mtaa aisee yaani dogo bora asingefanana na mimi, ni noma.
Inapoelekea ndoa yangu itaharibika maana dogo anachezacheza na wenzake karibu na kwangu ubaya akija kuanza mazoea na wanangu naona kama nitaumbuka.
Nishaurini nifanyaje wadau.
Mimi kudinya dinya huko nje wakati Nina ndoa hapana labda ndoa iwe ktk mgogoro,Duuh
Wewe ukipewa million moja inatosha kulea mtoto kwa miaka minne?Nilishampaga million 1 mwaka 2020 nikamuambia tusijuane ila demu naona anafanya kama kunikomoa karudi tena huu mtaa
😂😂😂😂Ndio.
Yani hili jibu lake ndo lilinichefua chefuuuuuWewe ukipewa million moja inatosha kulea mtoto kwa miaka minne?
Wanaume sijui mnawazaga kwa kutumia mapumbu🚮
Daah kweli aiseeMimi kudinya dinya huko nje wakati Nina ndoa hapana labda ndoa iwe ktk mgogoro,
Mimi kudinya dinya huko nje wakati Nina ndoa hapana labda ndoa iwe ktk mgogoro,
Dah mbona mnaniponda naongea uhalisia au mlitaka nisisime ukweliYani hili jibu lake ndo lilinichefua chefuuuuu
Eti nilimpa million 1. Kama milioni inaweza kulea mtoto aiweke mezani aone oke aone kama italea mimba, itanyonyonyesha mtoto, itamfulia, itamsomesha, akiumwa itambeba kwenda hospitali na huduma nyingine.
Wanaume wakati mwingine wana kuwa wabinafsi sana linapokuja swala LA mimba na mtoto
Mkuu hii vita ni yako pambana nayo hakikisha unashinda omba. Omba tena game kukumbushia bandua kampangie mbali ukoo kisha unamfungulia kibiashara awe busy kabisaWanajamvi aisee nilimkataa mtoto miaka kama minne imepita.
Sasa ubaya leo kaja na mama yake sehemu ambayo karibu na kwangu, mtoto anafanana na mimi mpaka nimeona aibu nikaangalia pembeni.
Sasa ubaya mama yake sijui kafanya makusudi kahamia huu mtaa aisee yaani dogo bora asingefanana na mimi, ni noma.
Inapoelekea ndoa yangu itaharibika maana dogo anachezacheza na wenzake karibu na kwangu ubaya akija kuanza mazoea na wanangu naona kama nitaumbuka.
Nishaurini nifanyaje wadau.
Ha!! Amwambie ili iweje?Hukumwambia mkeo??? 😀 😀 😀 😀
🤣🤣🤣Subiri siku akiitwa mbele ya mjumbe akataeeeHa!! Amwambie ili iweje?
Me nimejibu kwa ujumla boss wangu. Sikuwa na attack personally ndo maana mwisho nikatoa general statement kwamba wanaume mostly ni wabinafsi. Ila pia kama unaumia hii ni alarm kwamba u did a very wrong thing ... So hupaswi kuchukia Ila kutubu na kuchukua hatua. Angalia hata wanaume wenzako wanavyoandika.Dah mbona mnaniponda naongea uhalisia au mlitaka nisisime ukweli
Mke atahusika badae sana Ila sio kwa hatua za awali.Ha!! Amwambie ili iweje?
Daah sawaMe nimejibu kwa ujumla boss wangu. Sikuwa na attack personally ndo maana mwisho nikatoa general statement kwamba wanaume mostly ni wabinafsi. Ila pia kama unaumia hii ni alarm kwamba u did a very wrong thing ... So hupaswi kuchukia Ila kutubu na kuchukua hatua. Angalia hata wanaume wenzako wanavyoandika.
Kama umekwazika na maandishi yangu baomba nisamehe bure.
Cha msingi mtunze ni Mtoto wako.Wanajamvi aisee nilimkataa mtoto miaka kama minne imepita.