Mtoto niliyemkataa miaka 4 iliyopita, anafanana na mimi. Sasa ameletwa karibu na ninapoishi

Yani mwanaume unaanzaje kukataa mtoto Yani Huwa mnajisikiaje
Mtoto kazaliwa unakula unalala vizuri kabisa huku damuyako Iko huko hujui mtoto anapitia changamoto gani anaishije aisee
Nimemuona huruma huyo mtoto Bora hata usiwe babaake
 
Duuh aisee
 
Nilishampaga million 1 mwaka 2020 nikamuambia tusijuane ila demu naona anafanya kama kunikomoa karudi tena huu mtaa
Usikurupuke sasa, chunguza taratibu unaweza kuta kuna mwanaume mwingine keshababatizwa hapo, na sasa Mama mtoto nae anatafuta namna ya kukuambia ili muyajenge nyinyi wawili!!
 
Usikurupuke sasa, chunguza taratibu unaweza kuta kuna mwanaume mwingine keshababatizwa hapo, na sasa Mama mtoto nae anatafuta namna ya kukuambia ili muyajenge nyinyi wawili!!
Hili nalo neno Asante kaka
 
okoa mtoto wako haraka kabla mkeo hajaingiwa na shetani.
 
Mchukue mwanao
 
Nikiona replies zako za jana 'tafuta hela' naona Bora akunyooshe tu cz ni kama bdo una akili za kitoto...sijui huo uanaume ulipewaje!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…