Kindeena
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 11,462
- 21,124
SafiPoa vp
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SafiPoa vp
Nakupigia simu pokea 😹Nipo dar
Yah napokeaNakupigia simu pokea 😹
Duuh aiseeYani mwanaume unaanzaje kukataa mtoto Yani Huwa mnajisikiaje
Mtoto kazaliwa unakula unalala vizuri kabisa huku damuyako Iko huko hujui mtoto anapitia changamoto gani anaishije aisee
Nimemuona huruma huyo mtoto Bora hata usiwe babaake
Usikurupuke sasa, chunguza taratibu unaweza kuta kuna mwanaume mwingine keshababatizwa hapo, na sasa Mama mtoto nae anatafuta namna ya kukuambia ili muyajenge nyinyi wawili!!Nilishampaga million 1 mwaka 2020 nikamuambia tusijuane ila demu naona anafanya kama kunikomoa karudi tena huu mtaa
Hili nalo neno Asante kakaUsikurupuke sasa, chunguza taratibu unaweza kuta kuna mwanaume mwingine keshababatizwa hapo, na sasa Mama mtoto nae anatafuta namna ya kukuambia ili muyajenge nyinyi wawili!!
okoa mtoto wako haraka kabla mkeo hajaingiwa na shetani.Wanajamvi aisee nilimkataa mtoto miaka kama minne imepita.
Sasa ubaya leo kaja na mama yake sehemu ambayo karibu na kwangu, mtoto anafanana na mimi mpaka nimeona aibu nikaangalia pembeni.
Sasa ubaya mama yake sijui kafanya makusudi kahamia huu mtaa aisee yaani dogo bora asingefanana na mimi, ni noma.
Inapoelekea ndoa yangu itaharibika maana dogo anachezacheza na wenzake karibu na kwangu ubaya akija kuanza mazoea na wanangu naona kama nitaumbuka.
Nishaurini nifanyaje wadau.
Mwambie. Afadhali sasa kuliko baadayeSijawahi kumuambia aisee
Tena ukute mke wako ana watoto wa kike tupu,mbona utateseka wwe na huyo mwanao usipo simama kiume!!Hamna sio kama naogopa ila naona nikimtambulisha dogo ataishi Kwa mateso sana namjua mke wangu
Sawa kakaMwambie. Afadhali sasa kuliko baadaye
Mke wako ana roho mbaya sana eti khaaaaaHamna sio kama naogopa ila naona nikimtambulisha dogo ataishi Kwa mateso sana namjua mke wangu
Mchukue mwanaoWanajamvi aisee nilimkataa mtoto miaka kama minne imepita.
Sasa ubaya leo kaja na mama yake sehemu ambayo karibu na kwangu, mtoto anafanana na mimi mpaka nimeona aibu nikaangalia pembeni.
Sasa ubaya mama yake sijui kafanya makusudi kahamia huu mtaa aisee yaani dogo bora asingefanana na mimi, ni noma.
Inapoelekea ndoa yangu itaharibika maana dogo anachezacheza na wenzake karibu na kwangu ubaya akija kuanza mazoea na wanangu naona kama nitaumbuka.
Nishaurini nifanyaje wadau.
Ni kweli siwezi kukataa kisa mtandaoniMke wako ana roho mbaya sana eti khaaaaa
Dah KweliTena ukute mke wako ana watoto wa kike tupu,mbona utateseka wwe na huyo mwanao usipo simama kiume!!
Sawa mkuuMwambie. Afadhali sasa kuliko baadaye
Sawa kakaokoa mtoto wako haraka kabla mkeo hajaingiwa na shetani.