1. Siku mbili kabla ya Ben kupotea alikuwa anafanya mawasiliano na DAB ili waweze kumeet wafanye kikao.

2. Hata yule "TEETH" Ramadhani Igondu aliyemteka Dr Ulimboka naye kabla hajatekwa alikuwa anafanya naye mawasiliano ili waweze kukaa wasuluhishe.

3.Sativa alitekwa DAR akapelekwa Arusha(Hapa hakuna haja ya D Mbili alipelekwa kwa nani) ,Akapigwa risasi ya kichwa ifumue ubongo bahati nzuri ikapiga kwenye TAYA.

Kwahiyo hawa jamaa kabla hawajkuingiza kwenye 18 ni lazima wafanye mawasiliano na wewe kukuleta karibu na kukuaminisha ,ukishawaamini wanaweka mitego na kujua plan zako zote ,mishe mishe na mizunguko yako yote maana katika mawasiliano lazima utataja tu location kwamba siku flani nitakuwa sehemu faln so tufanye kikoa kesho kutwa then wao ushawapa location then wanakutight before hiyo siku mliyopanga.

TAL kupigwa risasi.
-Siku ambayo TAL anapigwa risasi DAB alikuwa Dom ku-engineer assassination .na siku hiyo hiyo Mwendazake alikuwa anapokea report ikulu na haijawahi kutokea JIWE ame anafanya event yeyote DAB asiwepo ,lakinu siku hiyo DAB hakuwepo...Kumbe alikuwa Dom -Master Minder.

Report ya Ubalozi ya US
-US embassy walitoa report ya kumzuia DAB asiingie marekani kwasababu kadhaa moja wapo ya kuondoa haki ya watu kuishi(Hapa lazima uwe na D mbili kama Za Leonard uweze kuelewa).
 
Maelezo mengi alafu pumba
 
Wacha wakutane na saa 8 huko,Familia yake nayo wapitie waliyopitia Familia ya Ben.
 
Usivyo na akili unajichanganya mwenyewe hapa.
Unamtaja 'Nalvany' kujionyesha tu unajuwa mambo, kumbe hata huji kitu. Huko Urusi kulikuwepo na serikali aliyoiunga mkono na kumtumia huyo Nalvany kama ilivyo hapa?
 
Mpinzani wako hapo kwenu viena amekosa njia nyingine ya kumkomesha mwenzie hapo kwenu zaidi ya kumuekea sumu kwenye chakula? Hauogopi Kwa mungu wake? Eti kisa dunia tu aisee this is too much sasa ataenda kujibu nini kwa mungu wake?

Najua utake usitake hapo kwenu viena mwaka huu hautoboi kabisa aisee maana msimu uliopita aliingia Kwa hisani ya bwana liquor 🥃 lakini kwa sasa hawezi kutoboa this time

Bwana msaidizi wa dereva na wewe acha ubabe aisee lakini karma is real kama ulivyowafanya wenzio na wewe umefanywa hivyo hivyo lakini tunaomba mungu akupe afya njema Ila pole bwana.

Get well soon nkoi gete gete
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…