PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,689
- 25,848
Vumilia ili uteletee Breaking News, au hautaki Breaking News wewe?Unajua mama ya tetesi,eti tetesi iliyokamilika acha ujuha
USSR
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vumilia ili uteletee Breaking News, au hautaki Breaking News wewe?Unajua mama ya tetesi,eti tetesi iliyokamilika acha ujuha
USSR
si ukute anatengeneza story tu hapo hajalishwa sumu wala nini. ameona hasikiki.
Jioni hii ameonekana akiingia kwa haraka sana.Peter Msechu ataingia studio?
Namwona Peter Msechu yupo busy na mashairi, labda anajiandaa na sikukuu ya mashujaa.Mtoto pendwa yuko hoi sana sana sana yaani hoi, inasemekana yuko kwa Madiba, je ni hali ya kawaida au kuna cha zaidi?
Nimekumbuka beirut na kupotea kwa Saa 9 kwa kuliwa na Chatu.
Britanicca.
Mbona juzi kati walikuwa wanashiriki kwenye riadha za baiskeli za moto?
Maelezo mengi alafu pumba1. Siku mbili kabla ya Ben kupotea alikuwa anafanya mawasiliano na DAB ili waweze kumeet wafanye kikao.
2. Hata yule "TEETH" Ramadhani Igondu aliyemteka Dr Ulimboka naye kabla hajatekwa alikuwa anafanya naye mawasiliano ili waweze kukaa wasuluhishe.
3.Sativa alitekwa DAR akapelekwa Arusha(Hapa hakuna haja ya D Mbili alipelekwa kwa nani) ,Akapigwa risasi ya kichwa ifumue ubongo bahati nzuri ikapiga kwenye TAYA.
Kwahiyo hawa jamaa kabla hawajkuingiza kwenye 18 ni lazima wafanye mawasiliano na wewe kukuleta karibu na kukuaminisha ,ukishawaamini wanaweka mitego na kujua plan zako zote ,mishe mishe na mizunguko yako yote maana katika mawasiliano lazima utataja tu location kwamba siku flani nitakuwa sehemu faln so tufanye kikoa kesho kutwa then wao ushawapa location then wanakutight before hiyo siku mliyopanga.
TAL kupigwa risasi.
-Siku ambayo TAL anapigwa risasi DAB alikuwa Dom ku-engineer assassination .na siku hiyo hiyo Mwendazake alikuwa anapokea report ikulu na haijawahi kutokea JIWE ame anafanya event yeyote DAB asiwepo ,lakinu siku hiyo DAB hakuwepo...Kumbe alikuwa Dom -Master Minder.
Report ya Ubalozi ya US
-US embassy walitoa report ya kumzuia DAB asiingie marekani kwasababu kadhaa moja wapo ya kuondoa haki ya watu kuishi(Hapa lazima uwe na D mbili kama Za Leonard uweze kuelewa).
Maelezo mengi alafu pumba
Code ngumu hii ila ina ukweli 100%Tatzo lilianzia TAA na TANU kuasisiwa na WATU wa pwani, WATU hawa pia Wana ushirika na majini, KUMBUKA CCM imetokana na TANU, hvyo CCM na majini ni wamoja, ndio maana Marais wote wamekufa isipokuwa wale wa Pwani wenye ushirika na majini.
SIsi ni majirani wema,mdiba tutashiriki na tutalia sana na kugaragaraJamani kwani hata msibani hamtaenda?
Yaani kama ikitokea na mnasema wataj8jua wenyewe?
Wacha wakutane na saa 8 huko,Familia yake nayo wapitie waliyopitia Familia ya Ben.1. Siku mbili kabla ya Ben kupotea alikuwa anafanya mawasiliano na DAB ili waweze kumeet wafanye kikao.
2. Hata yule "TEETH" Ramadhani Igondu aliyemteka Dr Ulimboka naye kabla hajatekwa alikuwa anafanya naye mawasiliano ili waweze kukaa wasuluhishe.
3.Sativa alitekwa DAR akapelekwa Arusha(Hapa hakuna haja ya D Mbili alipelekwa kwa nani) ,Akapigwa risasi ya kichwa ifumue ubongo bahati nzuri ikapiga kwenye TAYA.
Kwahiyo hawa jamaa kabla hawajkuingiza kwenye 18 ni lazima wafanye mawasiliano na wewe kukuleta karibu na kukuaminisha ,ukishawaamini wanaweka mitego na kujua plan zako zote ,mishe mishe na mizunguko yako yote maana katika mawasiliano lazima utataja tu location kwamba siku flani nitakuwa sehemu faln so tufanye kikoa kesho kutwa then wao ushawapa location then wanakutight before hiyo siku mliyopanga.
TAL kupigwa risasi.
-Siku ambayo TAL anapigwa risasi DAB alikuwa Dom ku-engineer assassination .na siku hiyo hiyo Mwendazake alikuwa anapokea report ikulu na haijawahi kutokea JIWE ame anafanya event yeyote DAB asiwepo ,lakinu siku hiyo DAB hakuwepo...Kumbe alikuwa Dom -Master Minder.
Report ya Ubalozi ya US
-US embassy walitoa report ya kumzuia DAB asiingie marekani kwasababu kadhaa moja wapo ya kuondoa haki ya watu kuishi(Hapa lazima uwe na D mbili kama Za Leonard uweze kuelewa).
In contrast, how "useful" are your three words written to counter the "Long-useless comment"? Evidently you have no ability to comment on anything!Long-useless comment
🤣🤣Yaani mtu afanye ushenzi na ukatili akitegemea kesho itamsafisha? Hata akibadilika, hiyo ni kwa faida yake, ila kwa aliyoyafanya lazima ayalipe.
Yaani afanye ushenzi, ushenzi huo umpandishe hadhi kisiasa, halafu aendelee kuiishi hadhi hiyo huku akisema yale ni ya zamani? Hakuna hiyo.
"Extra Terrestrial"? Inawezekana, kutokana na matendo yake kwa waTanganyika.Unafikiri "Bi mkubwa" ni "ET"?
Usivyo na akili unajichanganya mwenyewe hapa.Kutibu ni swala Moja ipa Imani Kwa wanaotoa tiba ni swala jingine.
Nalvany alipoenda kutibiwa Germany ni kwamba Russia hakuna madaktari au vifaa tiba?
Ni hakika mama ameboresha sekta ya Afya kuliko yeyote kabla.
Hiyo Saccos ya Mbowe mumejaa majinga.