Hapa unamshauri?Tunamuombea uzima na salama, arudi tumpe uwaziri.
Namshauri akirudi afanye toba ya kweli, na toba ya kweli ni kujisalimisha kwa Muumba wake, kusilimu.
Hata kama anataka kukuuwa?Si busara kufurahia matatizo ya mtu mwingine hata kama ni hasimu kwako.
Daudi A.BashiteDAB maana yake nini na kwanini wanamuita hivyo ?!
Yote kwa yote hiyo ni vita yenu wenyewe kwa wenyewe nguruwe wa kijani na mtamalizana sana .Sio MBOGA .... huyu influence na interests zake kwenye hii nchi ni finyu.... Huu uzushi unatungwa na Nyumbu kumchafua Mboga wakidhadi mwizi wa magari atapata ubunge tena A town .......wapo watu kondakta kawataja kwa codes hadharani( mawaziri tena kakazangu) "elewa maneno MAWAZIRI KAKA ZAKE kondakta".
Hata wewe nakushauri, bado hujaujuwa ukweli mpaka leo. Fanya toba.Hapa unamshauri?
Kusilimu? Akale mabikira peponi siyo?Tunamuombea uzima na salama, arudi tumpe uwaziri.
Namshauri akirudi afanye toba ya kweli, na toba ya kweli ni kujisalimisha kwa Muumba wake, kusilimu.
Sisi furaha yetu ni kuwa mnamalizana wenyewe kwa wenyewe nguruwe wa kijani.Labda hiyo sumu iwe imesababisha multiple organ failure tofauti na hapo haiwezi kuwa lethal kihivyo atapona tu. Atahama Nchi huyo ndugu yenu.
Kama ni kweli basi Mungu amsaidie. Alikuwa anafanya kazi nzuri sana Arusha.Kuna taarifa kuwa anaumwa sana.
Ni ama amelogwa au kalishwa sumu.
Aliowachongea wameliwa kichwa.
HujaelewekaNa anatema he ?
Geor DavieNabii yupi maana wapo wengi
Msechu mwenyewe sasaNasikia Peter Msechu yuko Studio!
Wewe unangoja nini, bado unaabudu mcheza cinema wa Kizungu?Kusilimu? Akale mabikira peponi siyo?
Naanza kuamini kuwa huenda hizo tetesi ni za kweli!Mrisho Gambo akimlia timing Bashite
View attachment 3052495
Disco limevamiwa na Masai ππWewe unangoja nini, bado unaabudu mcheza cinema wa Kizungu?
asilimu ili mashetani mengine yazidi tena, si bora afe ivyo ivyo kuliko kumkana Yesu, atajiongezea viboko vya jehanum.Tunamuombea uzima na salama, arudi tumpe uwaziri.
Namshauri akirudi afanye toba ya kweli, na toba ya kweli ni kujisalimisha kwa Muumba wake, kusilimu.
Nyie mtakuwa wake za nani huko mkuu?Wewe unangoja nini, bado unaabudu mcheza cinema wa Kizungu?