LuisMkinga
JF-Expert Member
- Jan 10, 2012
- 3,255
- 6,252
Duu. Watu mpo full nondoMpigie rafiki yake Athumani 0652627771 atakupa taarifa zote
Na iwe hivyo!ni mzima wa afya.
Upo outdated sana mkuu. Watu wanafanya assassination ya namba moja tena bila kutumia nguvu kubwa halafu unazungumzia hicho kifutundu eti kimeshindikana?humu ndani kelele nyingi ila ni labda mnajisahaulisha au ni kweli hamumjui vizuri bwana daudi albert bashite,
bashite sio mtu wa kawaida kabisa.tunaomjua tunajua,
kama kupotezwa tungekua tunafanya annivesary ya miaka kadhaa sasa kashawindwa kwa namna zote,watu wazito wa hila ila wameamua kumuachia mungu a deal nae wamemshindwa yule dogo.
yupo ana wachora tu.
Huna akiliUpo outdated sana mkuu. Watu wanafanya assassination ya namba moja tena bila kutumia nguvu kubwa halafu unazungumzia hicho kifutundu eti kimeshindikana?
You can't be serious.
Huyo wakiamua kumuondoa ni suala la dakika chache tu mnamsahau. Kwasasa amini hivyo tu.
Halafu unaposema yupobanawachora tu huoni unajidhalilisha?
Kwamba ameacha kufanya majukumu ya msingi aliyopewa na kiongozi wa nchi halafu afanye drama za kutegea huku akila mshahara asioufanyia kazi
Ni rahisi sana ukiwa smartHii code ngumu Sana kufungua
Nilikuuliza kama unamshauri hapa. Hukunielewa.Hata wewe nakushauri, bado hujaujuwa ukweli mpaka leo. Fanya toba.
Hahaha....duuhNa ya shambulio la Lissu, wazee wa Kinyaturu wamesoma kul juwaan ndiyo sasa imeitika.
Kapotea....alijua atapewa cheo kikubwa.....kaambulia Udc huko maporini.Wao enzi zao walikuwa wanasema hadharani kuwa kwasababu zile Risasi hazikumuua Lissu basi watamchoma "Sindano za Sumu".
Ndugu wana JF hebu tujikumbushe na Sindano za Sumu Speech ikiungurumishwa na mmoja wa PushGang.👇
View: https://youtu.be/p8TMM3xlu6A?si=gR2ldGjegsJwB0Th
HayajakukutaHata kama anataka kukuuwa?
Ben Saaane je? Hayajamkuta?Hayajakukuta