Tetesi: Mtoto pendwa kapatwa na nini? Yuko hoi kwa Madiba, inadaiwa ni sumu
humu ndani kelele nyingi ila ni labda mnajisahaulisha au ni kweli hamumjui vizuri bwana daudi albert bashite,
bashite sio mtu wa kawaida kabisa.tunaomjua tunajua,
kama kupotezwa tungekua tunafanya annivesary ya miaka kadhaa sasa kashawindwa kwa namna zote,watu wazito wa hila ila wameamua kumuachia mungu a deal nae wamemshindwa yule dogo.
yupo ana wachora tu.
 
Upo outdated sana mkuu. Watu wanafanya assassination ya namba moja tena bila kutumia nguvu kubwa halafu unazungumzia hicho kifutundu eti kimeshindikana?

You can't be serious.

Huyo wakiamua kumuondoa ni suala la dakika chache tu mnamsahau. Kwasasa amini hivyo tu.

Halafu unaposema yupobanawachora tu huoni unajidhalilisha?

Kwamba ameacha kufanya majukumu ya msingi aliyopewa na kiongozi wa nchi halafu afanye drama za kutegea huku akila mshahara asioufanyia kazi?
 
Upo outdated sana mkuu. Watu wanafanya assassination ya namba moja tena bila kutumia nguvu kubwa halafu unazungumzia hicho kifutundu eti kimeshindikana?

You can't be serious.

Huyo wakiamua kumuondoa ni suala la dakika chache tu mnamsahau. Kwasasa amini hivyo tu.

Halafu unaposema yupobanawachora tu huoni unajidhalilisha?

Kwamba ameacha kufanya majukumu ya msingi aliyopewa na kiongozi wa nchi halafu afanye drama za kutegea huku akila mshahara asioufanyia kazi
Huna akili
 
Back
Top Bottom