Kuna mahali tulikuwa tumekaa na jamaa zangu tukasikia watu wanasema;

"tayari huko ameshaaga jukwaa"...

kila mtu akageuza shingo kuvuta usikivu, kuja kusikia kumbe wanamuongelea Ally Kamwe!
Sasa kilichonishangaza zaidi ni namna jamaa zangu walivyosonya halafu wakasema;

"...yule Jasusi alivyosema kinachoendelea ni mpango wa jamaa mwenyewe kujizushia ndo ukweli, hawa wengine wameingia kwenye mtego wa jamaa..."

halafu mmoja akajisonya kwa nguvu;

...dah! Wanamkosaje kosaje baana? Ila ingekuwa kweli isingechukua siku zote hizi...kwanini lakini?

Wakati wote huo mimi nilikuwa nimetumbua macho najaribu kuwashangaa washikaji wanaongelea kitu gani? Hadi sasa sijapata jibu na wamegoma kuniambia...nimeishia kusoma tu habari za Ally Kamwe kuliaga jukwaa mtandao
 
Hata huo mstari sidhani kama upo, muangalie vizuri Mwijaku halafu ujiulize tena kama kuna mstari mwembamba au ushoga ni uchawa.
Wejasu, chama cha mashoga ni kile chama cha nyumbu. Hicho ndicho kina vyama marafiki ambao ni mashoga wa wazi wazi. Huwezi kuwa na urafiki na mashoga kama wewe siyo shoga; ndege wafananao huruka pamoja.
 
Kuna mahali nimeandika mara ya mwisho walionekana na Mwamposa kwenye pikipiki
Walipokwenda dinner hapo hapo mtu akalishwa sumu.Imenikumbusha yule mrusi Alexander Litvinenko .Watu waliompa sumu ni marafiki zake kabisa aliofanya nao KGB kabla hajakimbilia London.Wakampigia simu waonane waongee kumbe wanakwenda kumpa sumu. Alikula hiyo sumu tarehe 1 Novembre. Tarehe 26 Novembre akafa. Ilikuwa 2006.
 
Mkuu hicho kisa Cha huyo Mrusi kila nikisoma makala zake mwili unanisisimuka.... Kwenye haya maisha usimwamini mtu na usipende kuzoeana na watu mambo ya usela usela sijui mambo ya kupendwa pendwa. Inatakiwa kuishi kimachale. Kondata kama Bado hajakata roho bila shaka kichwani kwake alarm itakua inaita hivi " yule mwamposa ni mbwa, ameniwahi, mchezo alionichezea sitamsahau kamwe"
 
Kuonekana na mwamposa haimaanishi yeye kuwa mhusika hiyo chain inaweza kuanzia kwa mpishi, mtu aliye waletea chakula mezani, au mtu waliye kaa nae meza moja(hili linawezakana kwa kutengeneza tukio linalo hamisha macho ya walaji na hivyo mtu anaweka chap sumu)

Au kama alitembea na maji yake na akayaacha sehemu mtu wake wa karibu hata dereva anaweza kuhusika

Au wakati ameenda kunawa na ameacha kinywaji chake mezani mtu akiyekusudia kumlisha sumu anatumia mwanya huo huo

Kwahiyo ni ngumu kusema fulani ndie mhusika. Kama kuna cctv wanaweza kuanzia hapo na kama tukio halionekani basi sumu amelishwa siku kabla ya kuonana na mwaposa au saa chache kabla ya kwenda lunch.

Vipi labda kama ni chai ya ofisini?

hata hivyo serikali haijathibitisha kwamba kijana wenu pendwa amelishwa sumu
 
Hapo ndo umeharibu kabisa.Unasubiri serikali ithibitishe ?Makonda atasema ukweli endapo akipona.Ila ninavyowajua kina Kinana hii sumu akitoboa basi kweli ana Mungu wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…