Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 24,386
- 57,588
Too Sad,hili la Makonda linazidi kunifundisha usimwamini mtu.Nina Shaka na Mwamposa .Msechu hajatoa wimbo bado
Watu tuburudike
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Too Sad,hili la Makonda linazidi kunifundisha usimwamini mtu.Nina Shaka na Mwamposa .Msechu hajatoa wimbo bado
Watu tuburudike
Ndugu yangu wewe huwa unaamini watuToo Sad,hili la Makonda linazidi kunifundisha usimwamini mtu.Nina Shaka na Mwamposa .
Siamini mtu yeyote. Believe me nilishawahi kum PM Makonda nikamwambia asiamini kabisa watu kama Mwamposa ,Mrisho Gambo.Ndugu yangu wewe huwa unaamini watu
Mimi mwenyewe sijiamini
Hata huo mstari sidhani kama upo, muangalie vizuri Mwijaku halafu ujiulize tena kama kuna mstari mwembamba au ushoga ni uchawa.Kuna mstari mwembamba sana kati ya ushoga na uchawa.
Mwenzio amekata ung'eng'e na wewe jibu mapigo basi 🤣🤣Nmekumiss zaidi.....☺️
Bro mi na kizungu where and where 😹Mwenzio amekata ung'eng'e na wewe jibu mapigo basi 🤣🤣
Sa mbona mimi unanipiga kizungu sasa? 😅😅Bro mi na kizungu where and where 😹
Si nasikia aliyeyuka? Kwenye pipa la maji ya moto?Hv saa tisa aliliwa na chatu? 🤔
Una akIli Sana we!Nilihisi Ivo ivo!Too Sad,hili la Makonda linazidi kunifundisha usimwamini mtu.Nina Shaka na Mwamposa .
Wejasu, chama cha mashoga ni kile chama cha nyumbu. Hicho ndicho kina vyama marafiki ambao ni mashoga wa wazi wazi. Huwezi kuwa na urafiki na mashoga kama wewe siyo shoga; ndege wafananao huruka pamoja.Hata huo mstari sidhani kama upo, muangalie vizuri Mwijaku halafu ujiulize tena kama kuna mstari mwembamba au ushoga ni uchawa.
Kuna mahali nimeandika mara ya mwisho walionekana na Mwamposa kwenye pikipikiSiamini mtu yeyote. Believe me nilishawahi kum PM Makonda nikamwambia asiamini kabisa watu kama Mwamposa ,Mrisho Gambo.
Walipokwenda dinner hapo hapo mtu akalishwa sumu.Imenikumbusha yule mrusi Alexander Litvinenko .Watu waliompa sumu ni marafiki zake kabisa aliofanya nao KGB kabla hajakimbilia London.Wakampigia simu waonane waongee kumbe wanakwenda kumpa sumu. Alikula hiyo sumu tarehe 1 Novembre. Tarehe 26 Novembre akafa. Ilikuwa 2006.Kuna mahali nimeandika mara ya mwisho walionekana na Mwamposa kwenye pikipiki
Mkuu hicho kisa Cha huyo Mrusi kila nikisoma makala zake mwili unanisisimuka.... Kwenye haya maisha usimwamini mtu na usipende kuzoeana na watu mambo ya usela usela sijui mambo ya kupendwa pendwa. Inatakiwa kuishi kimachale. Kondata kama Bado hajakata roho bila shaka kichwani kwake alarm itakua inaita hivi " yule mwamposa ni mbwa, ameniwahi, mchezo alionichezea sitamsahau kamwe"Walipokwenda dinner hapo hapo mtu akalishwa sumu.Imenikumbusha yule mrusi Alexander Litvinenko .Watu waliompa sumu ni marafiki zake kabisa aliofanya nao KGB kabla hajakimbilia London.Wakampigia simu waonane waongee kumbe wanakwenda kumpa sumu. Alikula hiyo sumu tarehe 1 Novembre. Tarehe 26 Novembre akafa. Ilikuwa 2006.
Kuonekana na mwamposa haimaanishi yeye kuwa mhusika hiyo chain inaweza kuanzia kwa mpishi, mtu aliye waletea chakula mezani, au mtu waliye kaa nae meza moja(hili linawezakana kwa kutengeneza tukio linalo hamisha macho ya walaji na hivyo mtu anaweka chap sumu)Walipokwenda dinner hapo hapo mtu akalishwa sumu.Imenikumbusha yule mrusi Alexander Litvinenko .Watu waliompa sumu ni marafiki zake kabisa aliofanya nao KGB kabla hajakimbilia London.Wakampigia simu waonane waongee kumbe wanakwenda kumpa sumu. Alikula hiyo sumu tarehe 1 Novembre. Tarehe 26 Novembre akafa. Ilikuwa 2006.
Yupo LikizoSerikali wanasemaje!
Ova
Ah basi uzi ufungweYupo Likizo
Hapo ndo umeharibu kabisa.Unasubiri serikali ithibitishe ?Makonda atasema ukweli endapo akipona.Ila ninavyowajua kina Kinana hii sumu akitoboa basi kweli ana Mungu wake.Kuonekana na mwamposa haimaanishi yeye kuwa mhusika hiyo chain inaweza kuanzia kwa mpishi, mtu aliye waletea chakula mezani, au mtu waliye kaa nae meza moja(hili linawezakana kwa kutengeneza tukio linalo hamisha macho ya walaji na hivyo mtu anaweka chap sumu)
Au kama alitembea na maji yake na akayaacha sehemu mtu wake wa karibu hata dereva anaweza kuhusika
Au wakati ameenda kunawa na ameacha kinywaji chake mezani mtu akiyekusudia kumlisha sumu anatumia mwanya huo huo
Kwahiyo ni ngumu kusema fulani ndie mhusika. Kama kuna cctv wanaweza kuanzia hapo na kama tukio halionekani basi sumu amelishwa siku kabla ya kuonana na mwaposa au saa chache kabla ya kwenda lunch.
Vipi labda kama ni chai ya ofisini?
hata hivyo serikali haijathibitisha kwamba kijana wenu pendwa amelishwa sumu