Akasemaje?Siamini mtu yeyote. Believe me nilishawahi kum PM Makonda nikamwambia asiamini kabisa watu kama Mwamposa ,Mrisho Gambo.
Wakitoka na kuelekea wapi?Kuna mahali nimeandika mara ya mwisho walionekana na Mwamposa kwenye pikipiki
Kwanini akina kinana? Wanamuhofia makonda? Hiyo sumu wanatembea nayo au wanaitengeneza wao? Uoatikanaji wake mbona nasikia umekaa kiidara zaidi kuliko kuikuta kwa mtu mmoja mmoja?Hapo ndo umeharibu kabisa.Unasubiri serikali ithibitishe ?Makonda atasema ukweli endapo akipona.Ila ninavyowajua kina Kinana hii sumu akitoboa basi kweli ana Mungu wake.
Huko mbali, tuanze na Lucas MwashambwaSerikali wanasemaje!
Ova
Lucas hana info yoyote mkuu 😄Huko mbali, tuanze na Lucas Mwashambwa
Huu sasa utakuwa ni mtego wa panyaMkuu hicho kisa Cha huyo Mrusi kila nikisoma makala zake mwili unanisisimuka.... Kwenye haya maisha usimwamini mtu na usipende kuzoeana na watu mambo ya usela usela sijui mambo ya kupendwa pendwa. Inatakiwa kuishi kimachale. Kondata kama Bado hajakata roho bila shaka kichwani kwake alarm itakua inaita hivi " yule mwamposa ni mbwa, ameniwahi, mchezo alionichezea sitamsahau kamwe"
Mkuu unataka Jf ifanye Nini maana maana Title ni "Mtoto pendwa kapatwa na Nini? Yuko hoi kwa madiba, inadaiwa ni sumu". Mkuu hii ni hadithi kama hadithi zingine na huyo mtoto hajajitokeza kukanusha hayo! Jf haiwezi kikanusha mambo ya fictionMbona Jf fact check ipo kimya kuhusu jambo hili?
Ehh!Rest in Hell mazafaka
Unamwandika walaka mtu kashaaga Dunia, Kwa Nini unajitoa ubongo kiasi hicho.COMRADE MAKONDA , TUNAJUA UKO MZIMA NA SALAMA KABISA, UNAPITIA UZI HUU HUKU UKITABASAMU, TANZANIA IKO SHWARI NA TAMBUA KUWA UNA NGUVU KUBWA SANA NDANI YA JAMII, COMRADE , WENGI WANAKUOMBEA MABAYA SANA NA NAJUA KUWA WEWE UKO MBELE YA MUDA WAO, UNAONA MBELE ZAIDI YAO, WEWE NI KADA ULIYEPIKWA NA UKAPIKIKA, HAKIKA WENGI ZAIDI WANAKUPENDA NA KUKUOMBEA MEMA MENGI , UMETOA SOMO KUBWA KATIKA MAISHA YA MWANADAMU . UMEACHA ALAMA KAMA YA KIJANA MWENYE UVUMILIVU NA UTHUBUTU . WENGI WANATAMANI WAPATE NAFASI TU ULIYO NAYO AU WAPATE KUONGELEWA KAMA WEWE. MAKONDA PIGA KAZI BABA. ENDELEA KUTUVUSHA. WEWE NI MFANO WA KIONGOZI . MABAYA YAZIKWE . MEMA DAIMA .
iamwangdamin
Ccm oyeeeee. Ccm mbele kwa mbele.
Paulo makonda yupo dubai anakula maisha, nyie endeleeni na drama zenu.Mtoto pendwa yuko hoi sana sana sana yaani hoi, inasemekana yuko kwa Madiba, je ni hali ya kawaida au kuna cha zaidi?
Nimekumbuka beirut na kupotea kwa Saa 9 kwa kuliwa na Chatu.
Britanicca.
MAHABA YENU KWAKE MNASHINDWA KUYAFICHA .NAKUPENDA MAKONDA
Namuombea tu asijekutwa na yale taliyomuondoa mzee wetuCOMRADE MAKONDA , TUNAJUA UKO MZIMA NA SALAMA KABISA, UNAPITIA UZI HUU HUKU UKITABASAMU, TANZANIA IKO SHWARI NA TAMBUA KUWA UNA NGUVU KUBWA SANA NDANI YA JAMII, COMRADE , WENGI WANAKUOMBEA MABAYA SANA NA NAJUA KUWA WEWE UKO MBELE YA MUDA WAO, UNAONA MBELE ZAIDI YAO, WEWE NI KADA ULIYEPIKWA NA UKAPIKIKA, HAKIKA WENGI ZAIDI WANAKUPENDA NA KUKUOMBEA MEMA MENGI , UMETOA SOMO KUBWA KATIKA MAISHA YA MWANADAMU . UMEACHA ALAMA KAMA YA KIJANA MWENYE UVUMILIVU NA UTHUBUTU . WENGI WANATAMANI WAPATE NAFASI TU ULIYO NAYO AU WAPATE KUONGELEWA KAMA WEWE. MAKONDA PIGA KAZI BABA. ENDELEA KUTUVUSHA. WEWE NI MFANO WA KIONGOZI . MABAYA YAZIKWE . MEMA DAIMA .
iamwangdamin
Ccm oyeeeee. Ccm mbele kwa mbele.
Hivi parapanda imeshalia ?Unamwandika walaka mtu kashaaga Dunia, Kwa Nini unajitoa ubongo kiasi hicho.
Mbona itakuwa bomba sanaNamuombea tu asijekutwa na yale taliyomuondoa mzee wetu