Tetesi: Mtoto pendwa kapatwa na nini? Yuko hoi kwa Madiba, inadaiwa ni sumu
Hapo ndo umeharibu kabisa.Unasubiri serikali ithibitishe ?Makonda atasema ukweli endapo akipona.Ila ninavyowajua kina Kinana hii sumu akitoboa basi kweli ana Mungu wake.
Kwanini akina kinana? Wanamuhofia makonda? Hiyo sumu wanatembea nayo au wanaitengeneza wao? Uoatikanaji wake mbona nasikia umekaa kiidara zaidi kuliko kuikuta kwa mtu mmoja mmoja?
 
Mkuu hicho kisa Cha huyo Mrusi kila nikisoma makala zake mwili unanisisimuka.... Kwenye haya maisha usimwamini mtu na usipende kuzoeana na watu mambo ya usela usela sijui mambo ya kupendwa pendwa. Inatakiwa kuishi kimachale. Kondata kama Bado hajakata roho bila shaka kichwani kwake alarm itakua inaita hivi " yule mwamposa ni mbwa, ameniwahi, mchezo alionichezea sitamsahau kamwe"
Huu sasa utakuwa ni mtego wa panya
Huingia waliomo na wasiokuwemo !
Ngoja Tusubiri what next !
 
Ukiangalia kiundani bila hata kuwa na D mbili unagundua jamaa hapendwi na system mzima kuanzia kule juu kabisa kwa sababu ya umungu mtu aliokua nao enzi za jiwe. Ile kumpa ukatibu mwenezi ilikua ni namna ya kumvuta ili wamjaze. Nae akakubali kujaa.

Sometimes unajiuliza kwa nini jamaa anapewa brand flani kubwa tofauti na wakuu wa mikoa mingine, na Kwa Nini media zinampa attention yeye zaidi.

Ule kupewa ukatibu mwenezi then kuchomolewa ghafla na kupewa ukuu wa mkoa.. Sometimes unajiuliza kweli Saa 100 na DAB wapi na wapi.
 
COMRADE MAKONDA , TUNAJUA UKO MZIMA NA SALAMA KABISA, UNAPITIA UZI HUU HUKU UKITABASAMU, TANZANIA IKO SHWARI NA TAMBUA KUWA UNA NGUVU KUBWA SANA NDANI YA JAMII, COMRADE , WENGI WANAKUOMBEA MABAYA SANA NA NAJUA KUWA WEWE UKO MBELE YA MUDA WAO, UNAONA MBELE ZAIDI YAO, WEWE NI KADA ULIYEPIKWA NA UKAPIKIKA, HAKIKA WENGI ZAIDI WANAKUPENDA NA KUKUOMBEA MEMA MENGI , UMETOA SOMO KUBWA KATIKA MAISHA YA MWANADAMU . UMEACHA ALAMA KAMA YA KIJANA MWENYE UVUMILIVU NA UTHUBUTU . WENGI WANATAMANI WAPATE NAFASI TU ULIYO NAYO AU WAPATE KUONGELEWA KAMA WEWE. MAKONDA PIGA KAZI BABA. ENDELEA KUTUVUSHA. WEWE NI MFANO WA KIONGOZI . MABAYA YAZIKWE . MEMA DAIMA .

iamwangdamin
Ccm oyeeeee. Ccm mbele kwa mbele.
 
Unamwandika walaka mtu kashaaga Dunia, Kwa Nini unajitoa ubongo kiasi hicho.
 
COMRADE MAKONDA , TUNAJUA UKO MZIMA NA SALAMA KABISA, UNAPITIA UZI HUU HUKU UKITABASAMU, TANZANIA IKO SHWARI NA TAMBUA KUWA UNA NGUVU KUBWA SANA NDANI YA JAMII, COMRADE , WENGI WANAKUOMBEA MABAYA SANA NA NAJUA KUWA WEWE UKO MBELE YA MUDA WAO, UNAONA MBELE ZAIDI YAO, WEWE NI KADA ULIYEPIKWA NA UKAPIKIKA, HAKIKA WENGI ZAIDI WANAKUPENDA NA KUKUOMBEA MEMA MENGI , UMETOA SOMO KUBWA KATIKA MAISHA YA MWANADAMU . UMEACHA ALAMA KAMA YA KIJANA MWENYE UVUMILIVU NA UTHUBUTU . WENGI WANATAMANI WAPATE NAFASI TU ULIYO NAYO AU WAPATE KUONGELEWA KAMA WEWE. MAKONDA PIGA KAZI BABA. ENDELEA KUTUVUSHA. WEWE NI MFANO WA KIONGOZI . MABAYA YAZIKWE . MEMA DAIMA .

iamwangdamin
Ccm oyeeeee. Ccm mbele kwa mbele.
Namuombea tu asijekutwa na yale taliyomuondoa mzee wetu
 
Back
Top Bottom