Namuombea tu asijekutwa na yale taliyomuondoa mzee wetu
Comrade Makonda , yuko salama kabisa. Tuchape kazi.
KAZI INAENDELEA. MITANO TENA KWA MAMA SAMIA.
2025 CCM ITALETA VIJANA NA SURA MPYA NYINGI. TUMUUNGE MKONO
MAKONDA NA VIONGOZI WENGINE WENGI .

WAPINZANI WAMEBAKI KUENEZA CHUKI NA TETESI ZISIZO NA MSINGI.
 
Aliyeleta uzi huu ni mccm mwenzenu
 

Attachments

  • 20240729_103428.jpg
    867.6 KB · Views: 4
Paulo makonda yupo dubai anakula maisha, nyie endeleeni na drama zenu.
Inawezekana kabisa !
Loliondo Episodes ???!!!
Dipiwedi Episodes???!!!
Au ni nini nduguzanguni ???!!!

Kwakweli Duniani humu wenye bahati zao wanakula maisha ! Ni kwa muda mfupi tu lakini !
Baadaye kila mtu anaAvio kivyake vyake ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ™Œ๐Ÿ‘

Kule hakuna mavieite wala burgers ๐Ÿ” wala seafood ๐Ÿฆž wala ma mansions hakuna !!

Duh yaani itabidi tuache mauhondo yote ya mudunia ! ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ™„๐Ÿ™„๐Ÿ™Œ
 
Lakini ukweli ni kwamba jamaa ni high profile figure Nchini !

Anazungumziwa sana humu jamvini !
Letโ€™s wait and see !
Time will tell ๐Ÿ‘
 
Hizo ni habari za Akina chakaramu, habari za vijiwe kwamba alipotoka kwenye Pikipiki, wakaendankwenye msosi, hapohapo akalishwa.
 
Kipindi kama hiki ndiyo cha kuwa makini kuliko chore maana mambo ni mengi na muda ni mchache Sana.
Kila Kona DJ anapiga mdundo wake sasa jukumu ni lako usikilize au ucheze huo mdundo. ๐Ÿšถ๐Ÿพ๐Ÿšถ๐Ÿฟ๐Ÿšถ๐Ÿฝ
 
Makonda kama RC, ni mtu Mdogo sanaaaaa ambaye Kifo chake kutangazwa hakihitaji Dola ikae ijadili.


SUMU ni kweli kalishwa, ila Habari njema ni kwamba, ANAENDELEA VIZURI.


tukutane 2025, na Makonda.
Hapo umezungumza kama RC inaweza kuwa kweli ni mdogo....kiasi kwamba dola haiwez fanya makeke...kumbuka Tz RC sio yeye tu...wapo wengi? Y yeye?...labda nikupe taarifa ndogo tuu...Tuombee Mungu awe salama...vinginevyo cjui...huku kwenye mitandao ni tofauti sana na nje ya mitandao...Mh Rc nje ya mitandao ana attension kubwa sana ya wananchi....yaan pale kwenye uenezi alimaliza kila kitu...na ndio usalama wake ulipo...kiasi kwamba likitokea lolote baya juu yake....kuna mistari itachorwa kwa wananchi...isifike mahali wananchi waka draw lines ya introduction na conclution kuwa sehemu moja huku refference wakichukua miaka 3 iliyopita...๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ™๐Ÿพ
 
Andika Kiswahili tu, Kingereza hujuwi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ