Tetesi: Mtoto pendwa kapatwa na nini? Yuko hoi kwa Madiba, inadaiwa ni sumu
Namuombea tu asijekutwa na yale taliyomuondoa mzee wetu
Comrade Makonda , yuko salama kabisa. Tuchape kazi.
KAZI INAENDELEA. MITANO TENA KWA MAMA SAMIA.
2025 CCM ITALETA VIJANA NA SURA MPYA NYINGI. TUMUUNGE MKONO
MAKONDA NA VIONGOZI WENGINE WENGI .

WAPINZANI WAMEBAKI KUENEZA CHUKI NA TETESI ZISIZO NA MSINGI.
 
Aliyeleta uzi huu ni mccm mwenzenu
 
Attachments

  • 20240729_103428.jpg
    20240729_103428.jpg
    867.6 KB · Views: 4
Paulo makonda yupo dubai anakula maisha, nyie endeleeni na drama zenu.
Inawezekana kabisa !
Loliondo Episodes ???!!!
Dipiwedi Episodes???!!!
Au ni nini nduguzanguni ???!!!

Kwakweli Duniani humu wenye bahati zao wanakula maisha ! Ni kwa muda mfupi tu lakini !
Baadaye kila mtu anaAvio kivyake vyake 😅😅🙌👍

Kule hakuna mavieite wala burgers 🍔 wala seafood 🦞 wala ma mansions hakuna !!

Duh yaani itabidi tuache mauhondo yote ya mudunia ! 😳🙄🙄🙌
 
Lakini ukweli ni kwamba jamaa ni high profile figure Nchini !

Anazungumziwa sana humu jamvini !
Let’s wait and see !
Time will tell 👍
 
Walipokwenda dinner hapo hapo mtu akalishwa sumu.Imenikumbusha yule mrusi Alexander Litvinenko .Watu waliompa sumu ni marafiki zake kabisa aliofanya nao KGB kabla hajakimbilia London.Wakampigia simu waonane waongee kumbe wanakwenda kumpa sumu. Alikula hiyo sumu tarehe 1 Novembre. Tarehe 26 Novembre akafa. Ilikuwa 2006.
Hizo ni habari za Akina chakaramu, habari za vijiwe kwamba alipotoka kwenye Pikipiki, wakaendankwenye msosi, hapohapo akalishwa.
 
Makonda kama RC, ni mtu Mdogo sanaaaaa ambaye Kifo chake kutangazwa hakihitaji Dola ikae ijadili.

SUMU ni kweli kalishwa, ila Habari njema ni kwamba, ANAENDELEA VIZURI.

tukutane 2025, na Makonda.
Hapo umezungumza kama RC inaweza kuwa kweli ni mdogo....kiasi kwamba dola haiwez fanya makeke...kumbuka Tz RC sio yeye tu...wapo wengi? Y yeye?...labda nikupe taarifa ndogo tuu...Tuombee Mungu awe salama...vinginevyo cjui...huku kwenye mitandao ni tofauti sana na nje ya mitandao...Mh Rc nje ya mitandao ana attension kubwa sana ya wananchi....yaan pale kwenye uenezi alimaliza kila kitu...na ndio usalama wake ulipo...kiasi kwamba likitokea lolote baya juu yake....kuna mistari itachorwa kwa wananchi...isifike mahali wananchi waka draw lines ya introduction na conclution kuwa sehemu moja huku refference wakichukua miaka 3 iliyopita...🇹🇿🙏🏾
 
Andika Kiswahili tu, Kingereza hujuwi.
 
Back
Top Bottom