Tatizo walikuwa ni marafiki zake.Aliwaamini ndo akaenda kuonana nao.Imagine rafiki yako ndo anakuwa chanzo cha wewe kwenda kaburini.
Mkuu hii comment yako imenifikirisha sana... MTU una hang nae kama rafiki kumbe yeye anakusomea gape ujae vizuri ili akutoe roho.... Hili jambo inabidi Wana jf wote tuungane tusaidiane kushangaa.... Yote kwa yote acha jamaa afe maana amefanya mambo mengi ya kipumbavu kwa muda mrefu. Mateso aliyowapa wenzie acha nae ayaonje!
 
Mkristo namba Moja aliuwawa pale msalabani.... Itakuwa Mzee Magu!! yeye ni nani??......... Acha kukaririshwa na kufinyangwa na maandiko ya mwanadamu... Mungu kakupa akili uweze kufikiri, zitumie vyema akili zako Ndugu yangu.
 
Cmnt ya kibabe 😄

Ova
 
Hilo jinga umelijibu vizu sana.. mkuu hebu nifundishe na mm namna ya kuyajibu majinga kama hili.
 
Mtoto pendwa yuko hoi sana sana sana yaani hoi, inasemekana yuko kwa Madiba, je ni hali ya kawaida au kuna cha zaidi?

Nimekumbuka beirut na kupotea kwa Saa 9 kwa kuliwa na Chatu.

Britanicca.
Kila ncha ni mwisho wa marefu ya awali
 
Mkristo namba Moja aliuwawa pale msalabani.... Itakuwa Mzee Magu!! yeye ni nani??......... Acha kukaririshwa na kufinyangwa na maandiko ya mwanadamu... Mungu kakupa akili uweze kufikiri, zitumie vyema akili zako Ndugu yangu.
Kwa hivyo hayo maandiko uliyosoma wewe ya mkristo wa kwanza yaliandikwa na Nani ? Wanyama?
 
Mkristo namba Moja aliuwawa pale msalabani.... Itakuwa Mzee Magu!! yeye ni nani??......... Acha kukaririshwa na kufinyangwa na maandiko ya mwanadamu... Mungu kakupa akili uweze kufikiri, zitumie vyema akili zako Ndugu yangu.
Yesu hakuwa mkristo hakuna andiko kwenye biblia yesu kasema yeye ni kristo pili yesu mnasema ni mungu vipi mungu afe mungu yupi hana nguvu mpaka awekwe msalabani analia kama mtoto na kuomba msaada
 
Mnaweza kushangaa hili nisemalo lakini kwa CCM hii ambayo ni kama Dying Horse hili laweza kuwa mpango wao ndio maana wako kimya wapi aliko Makonda naye yuko kimya kabisa ili akitajwa basi kuwe na huruma kuwa amesemwa vibaya.
CCM STYLE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…