Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 24,386
- 57,588
Anae Mungu mlinzi wake .Sema wamemkosa kosa sana. So alijua kamwe hawatakuja mpata. NikamkumbushaAkasemaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anae Mungu mlinzi wake .Sema wamemkosa kosa sana. So alijua kamwe hawatakuja mpata. NikamkumbushaAkasemaje?
Aisee hii comment hatariIsraili naye siku hizi amekuwa mlegevu sana kumbe amesharahisishiwa kazi anashindwa nini kufanya finishing?
Mkuu hii comment yako imenifikirisha sana... MTU una hang nae kama rafiki kumbe yeye anakusomea gape ujae vizuri ili akutoe roho.... Hili jambo inabidi Wana jf wote tuungane tusaidiane kushangaa.... Yote kwa yote acha jamaa afe maana amefanya mambo mengi ya kipumbavu kwa muda mrefu. Mateso aliyowapa wenzie acha nae ayaonje!Tatizo walikuwa ni marafiki zake.Aliwaamini ndo akaenda kuonana nao.Imagine rafiki yako ndo anakuwa chanzo cha wewe kwenda kaburini.
Mkristo namba Moja aliuwawa pale msalabani.... Itakuwa Mzee Magu!! yeye ni nani??......... Acha kukaririshwa na kufinyangwa na maandiko ya mwanadamu... Mungu kakupa akili uweze kufikiri, zitumie vyema akili zako Ndugu yangu.JPM hakuwa mkristo , hata Bashite kama ni mkristo kweli hawezi kufa kwa sumu
Marko 16
17 “Na hizi ndizo ishara zitakazoandamana na wale wata kaoamini: Kwa kutumia jina langu watafukuza pepo; watasema kwa lugha mpya;
18 wataweza hata kuwakamata nyoka na kunywa sumu lakini wasidhurike; watawawekea wagonjwa mikono, nao watapona
Cmnt ya kibabe 😄Mkristo namba Moja aliuwawa pale msalabani.... Itakuwa Mzee Magu!! yeye ni nani??......... Acha kukaririshwa na kufinyangwa na maandiko ya mwanadamu... Mungu kakupa akili uweze kufikiri, zitumie vyema akili zako Ndugu yangu.
Hilo jinga umelijibu vizu sana.. mkuu hebu nifundishe na mm namna ya kuyajibu majinga kama hili.Mkristo namba Moja aliuwawa pale msalabani.... Itakuwa Mzee Magu!! yeye ni nani??......... Acha kukaririshwa na kufinyangwa na maandiko ya mwanadamu... Mungu kakupa akili uweze kufikiri, zitumie vyema akili zako Ndugu yangu.
Kila ncha ni mwisho wa marefu ya awaliMtoto pendwa yuko hoi sana sana sana yaani hoi, inasemekana yuko kwa Madiba, je ni hali ya kawaida au kuna cha zaidi?
Nimekumbuka beirut na kupotea kwa Saa 9 kwa kuliwa na Chatu.
Britanicca.
Amen.Nakusalimu kwa jina la Yesu Kristo residentura
Kama alivyo maarufu kuwananga wengine, kasomea ujinga!Shule ulienda kusomea nini vile🤔
Ila yeye alikufa akafufuka.Mkristo namba Moja aliuwawa pale msalabani.... Itakuwa Mzee Magu!! yeye ni nani??......... Acha kukaririshwa na kufinyangwa na maandiko ya mwanadamu... Mungu kakupa akili uweze kufikiri, zitumie vyema akili zako Ndugu yangu.
Kwa hivyo hayo maandiko uliyosoma wewe ya mkristo wa kwanza yaliandikwa na Nani ? Wanyama?Mkristo namba Moja aliuwawa pale msalabani.... Itakuwa Mzee Magu!! yeye ni nani??......... Acha kukaririshwa na kufinyangwa na maandiko ya mwanadamu... Mungu kakupa akili uweze kufikiri, zitumie vyema akili zako Ndugu yangu.
DuhPaulo makonda yupo dubai anakula maisha, nyie endeleeni na drama zenu.
Yesu hakuwa mkristo hakuna andiko kwenye biblia yesu kasema yeye ni kristo pili yesu mnasema ni mungu vipi mungu afe mungu yupi hana nguvu mpaka awekwe msalabani analia kama mtoto na kuomba msaadaMkristo namba Moja aliuwawa pale msalabani.... Itakuwa Mzee Magu!! yeye ni nani??......... Acha kukaririshwa na kufinyangwa na maandiko ya mwanadamu... Mungu kakupa akili uweze kufikiri, zitumie vyema akili zako Ndugu yangu.
SawasawaYupo likizo kaenda south africa na sasa yupo dubai ila akimaliza likizo atarudi
Gharama yako nauli tu ya kwenda na kurudiDawa gani sumu.
Una kikombe kama cha Babu?