Makonda ni jembe!! Ikiamriwa hivyo CCM njia nyeupe Ikulu.

Siyo hao wezi wengine
Mnaweza kushangaa hili nisemalo lakini kwa CCM hii ambayo ni kama Dying Horse hili laweza kuwa mpango wao ndio maana wako kimya wapi aliko Makonda naye yuko kimya kabisa ili akitajwa basi kuwe na huruma kuwa amesemwa vibaya.
CCM STYLE.
 
Chadema mnaangalia CCM tu, nyie huko kwenu dictator Mbowe mmiliki wa Chadema, mko nae kama hayuko Chadema, hakuna demokrasia wala uhuru wowote, upigaji, rushwa kibaooo, ila mimacho mnatolea CCM, nyie Chadema jitoeni boriti katika macho yenu kwanza..!!
 
Wejasu, chama cha mashoga ni kile chama cha nyumbu. Hicho ndicho kina vyama marafiki ambao ni mashoga wa wazi wazi. Huwezi kuwa na urafiki na mashoga kama wewe siyo shoga; ndege wafananao huruka pamoja.
Hapana, hayo mambo yameibuka tu, lakini chama gani kina machawa.
Wakati wanaungana hakukuwa na ushoga.
Ila ccm wanaongoza kwa machawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…