anaiweza kwa vile ni mbwatukaji?Makonda hiyo nafasi anaiweza lakin hafai hapo kwasasa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
anaiweza kwa vile ni mbwatukaji?Makonda hiyo nafasi anaiweza lakin hafai hapo kwasasa.
Nafasi zote za uongozi za CCM inedhihirika kuwa kila mtu anaweza.anaiweza kwa vile ni mbatukaji?
Hili nalo linawezekana sanaMnaweza kushangaa hili nisemalo lakini kwa CCM hii ambayo ni kama Dying Horse hili laweza kuwa mpango wao ndio maana wako kimya wapi aliko Makonda naye yuko kimya kabisa ili akitajwa basi kuwe na huruma kuwa amesemwa vibaya.
CCM STYLE.
I love this, ibarikiwe mikono iliyokulipia Ada! AmenThe fact makonda anaweza kuwa moja ya watu wanaotegemewa kisiasa ni kielelezo tosha kwa nini sisi ni taifa maskini.
Mnaweza kushangaa hili nisemalo lakini kwa CCM hii ambayo ni kama Dying Horse hili laweza kuwa mpango wao ndio maana wako kimya wapi aliko Makonda naye yuko kimya kabisa ili akitajwa basi kuwe na huruma kuwa amesemwa vibaya.
CCM STYLE.
Hapana, hayo mambo yameibuka tu, lakini chama gani kina machawa.Wejasu, chama cha mashoga ni kile chama cha nyumbu. Hicho ndicho kina vyama marafiki ambao ni mashoga wa wazi wazi. Huwezi kuwa na urafiki na mashoga kama wewe siyo shoga; ndege wafananao huruka pamoja.
Umenena vema,ubarikiwe,The fact makonda anaweza kuwa moja ya watu wanaotegemewa kisiasa ni kielelezo tosha kwa nini sisi ni taifa maskini.
Alifufuka wapi? hapo kwenye kufufuka ndipo uongo ulipoanzia, mengine hayo ya mateso na kuwambwa msalabani ni ukweliIla yeye alikufa akafufuka.
Shukrani 🙏🏽Umenena vema,ubarikiwe,
Shukrani mkuu 🙏🏽I love this, ibarikiwe mikono iliyokulipia Ada! Amen
SawaYupo likizo kaenda south africa na sasa yupo dubai ila akimaliza likizo atarudi