Tetesi: Mtoto pendwa kapatwa na nini? Yuko hoi kwa Madiba, inadaiwa ni sumu
Mtoto pendwa yuko hoi sana sana sana yaani hoi, inasemekana yuko kwa Madiba, je ni hali ya kawaida au kuna cha zaidi?

Nimekumbuka beirut na kupotea kwa Saa 9 kwa kuliwa na Chatu.

Britanicca.
Ukiona hivyo ujue alivutwa ili amaliziwe, na ili kuwapumbaza watu ikabidi wale jamaa wawili watumbuliwe, kimaigizo
 
Mkuu, kati ya kusema fulani ni mgonjwa kapelekwa South kutibiwa na kusema Mkurugenzi wa TISS punde atapumzishwa na Fulani atateuliwa kuwa Mkurugenzi wa TISS na ikawa hivyo unadhani ni kipi kati ya hivyo kinahitaji muhusika awe na taarifa za ndani mno?.

Britannica hapa jukwaani ni taasisi inayojitegemea.
Saa mbovu nazo husema kweli sometime. Usinielewe vibaya ila we are human don't forget
 
Mtoto pendwa yuko hoi sana sana sana yaani hoi, inasemekana yuko kwa Madiba, je ni hali ya kawaida au kuna cha zaidi?

Nimekumbuka beirut na kupotea kwa Saa 9 kwa kuliwa na Chatu.

Britanicca.
Siku hizi kila usemacho nakizingatia, ila watoto pendwa ni wengi, who is who?.
Ni yule wa ... Makabila au yule ... wa Dala Dala?.
P
 
Back
Top Bottom