Tetesi: Mtoto pendwa kapatwa na nini? Yuko hoi kwa Madiba, inadaiwa ni sumu
Britanicca, unajua umeibeba JamiiForums kwa kuwa na source za uhakika.

Tunamtakia ahuweni ya haraka. Ili aje afanye toba ya kweli awe huru kutoka matendo ya zamani. .

MATUKIO YA KARIBUNI AMBAYO NI YA KUJIULIZA
CCM inaweza kufanya lolote, mgonjwa anaweza akawa chini ya ulinzi. Tujiulize kwanini balozi namba mbili ametolewa ghafla ? Je balozi namba mbili alishindwa kutoa ushauri sahihi mkuu wa mkoa asiende South Afrika? :

Kama ndege ya ATCL ilikamatwa Afrika ya Kusini, je Mkuu wa mkoa hawezi kuchomewa na idara ya sheria Afrika ya Kusini ?


Marekani yamwekea vikwazo Makonda

Marekani yamwekea vikwazo Makonda
The Department of State is publicly designating Paul Christian Makonda under Section 7031(c) of the FY 2020 Department of State, Foreign Operations, and Related Programs Appropriations Act due to his involvement in gross violations of human rights, which include the flagrant denial of the right to life, liberty, or the ...31 Jan 2020
 
Baada ya hili, watakuja na drama gani tena? Wao wameamua kumwaga ugali, wenzao watamwaga mboga. Ya EA hayaepukiki. Next Tz
Kwema mkuu, kuna dogo alikutag sehemu lakini hukumjibu.

Tuombe amani ya nchi yetu kwa afya ya akili zetu na vizazi vyetu. Maana wengi hukurupuka ndio maana yanapowakuta majanga wengi hufurahia.
 
Back
Top Bottom