Tetesi: Mtoto pendwa kapatwa na nini? Yuko hoi kwa Madiba, inadaiwa ni sumu
kuna issue masisiemu wanataka kuwaondoa watu kwenye reli, ajabu ni kwamba wanatumia garama kubwa sana ya kodi za wananchi, mtu hadi south ametumia sh ngapi na za nani na kwasaabu gani hasa, si watatute fupa hata la machangudoa tu huko watu waendelee kulitafuta hilo fupa wakati mambo yao yanaendelea? au hawana mrusi mzuri.
 
Back
Top Bottom