Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 13,942
- 15,371
Mbona nimeliona juzi linagawa nyumba?KONDAKTA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona nimeliona juzi linagawa nyumba?KONDAKTA.
Hapo linavunga tu ili likirudi lidanganye watu kwamba lina Mungu wake!Kuna taarifa kuwa anaumwa sana.
Ni ama amelogwa au kalishwa sumu.
Aliowachongea wameliwa kichwa.
Mkuu wa naniliu aitwaye Manenepa.....Aliyeelewa anijuze na mimi
Kwamba vipenyo hawana kazi wanayoijua 😂😂Kuna mawaziri wanamtukana Rais
🤣🤣🤣Hapo linavunga tu ili likirudi lidanganye watu kwamba lina Mungu wake!
Mbona aliye kuwa anamtuma alikufa mwaka 2021 na tukazika Chato!! Huyu naye hatokwepa kikombe cha machungu
Ndiyo hivyo. Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Arusha ni RC Nurdin Babu wa KilimanjaroKwa nini mkuu wa wilaya hawezi kukaimu ukuu wa mkoa?
Naibu waziri anaweza kukaimu uwaziri endapo waziri husika hawezi kutekeleza majukumu yake??
JF imeingiliwa saivi wamefuta thread yangu kuwashauri TISS kusimamia mabadiliko ya Katiba ili nchi yetu iwe na mifumo imara kwa mustakabali mzuri. Ila wameacha thread inayowaomba hao hao TISS kumuandaa Makonda kuwa Rais. Siku hizi ni censorship humu. Wanaamua kipi cha kwenda hewani na kipi cha kutokwenda. Hili sio lile jukwaa la Maxense Mello tuliyemjua zamani!
Acha uogaMkuu wa naniliu aitwaye Manenepa.....
"Mtoto mpendwa"?
Nani anampenda huyo mtoto. Baadhi yenu watu wa JF huwa mnajisahaulisha sana. Lakini yote haya inajulikana sababu yake ni nini...; kujikomba; uchawa, n.k..
Baadhi ya watu humu hata wakiona nyoka wao watamwita ni mnyoo, ili mradi tu waonekane wanapigania chama cha mapinduzi
Huyo wewe unaye mpachika "utoto mpendwa", ni misingi ipi inayokufanya wewe uone ni "mtoto mpendwa"?
Mtu kutumiwa kama kikaratasi cha chooni, ndiko kupendwa huko?
Huyo hapendwi, ila inamlazimu mteuzi kumleta karibu kwake kwa sababu inalazimu afanye hivyo, siyo kwa sababu ya mapenzi yake.
Mara nyingi unafiki unaoonyeshwa katika maandishi humu ndani ya JF, kwa sababu tu za uchama zinawaondolea heshima wenye tabia hizo.
KurujuaniMtoto pendwa yuko hoi sana sana sana yaani hoi, inasemekana yuko kwa Madiba, je ni hali ya kawaida au kuna cha zaidi?
Nimekumbuka beirut na kupotea kwa Saa 9 kwa kuliwa na Chatu.
Britanicca.
Muulizeni Bulldozer huenda analo jibu.Mtoto pendwa yuko hoi sana sana sana yaani hoi, inasemekana yuko kwa Madiba, je ni hali ya kawaida au kuna cha zaidi?
Nimekumbuka beirut na kupotea kwa Saa 9 kwa kuliwa na Chatu.
Britanicca.
Kwani hayupo Ofisini kwake Arusha?