ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Kutibu ni swala Moja ipa Imani Kwa wanaotoa tiba ni swala jingine.Kwa nini asitibiwe hapa nchini wakati huwa anasema mama ameboresha kila kitu??
Lucas Mwashambwa ChoiceVariable FaizaFoxy
Nalvany alipoenda kutibiwa Germany ni kwamba Russia hakuna madaktari au vifaa tiba?
Ni hakika mama ameboresha sekta ya Afya kuliko yeyote kabla.