Tetesi: Mtoto pendwa kapatwa na nini? Yuko hoi kwa Madiba, inadaiwa ni sumu
Kwa nini asitibiwe hapa nchini wakati huwa anasema mama ameboresha kila kitu??
Lucas Mwashambwa ChoiceVariable FaizaFoxy
Kutibu ni swala Moja ipa Imani Kwa wanaotoa tiba ni swala jingine.

Nalvany alipoenda kutibiwa Germany ni kwamba Russia hakuna madaktari au vifaa tiba?

Ni hakika mama ameboresha sekta ya Afya kuliko yeyote kabla.
 
Sio drama tuu hiyo? Maana DAB anaweza hata ku act amekufa ili mradi apate milage katika media.
Lakini pia kwa tabia zake hayuko salama sana ndio maana kila siku drama za manabii na mashekhe haziishi
Ni kweli yaani huyo Jamaa Hamill kabisa,ana drama matata sana tena zinaweza kulenga kutafuta uhalali wa mambo kadhaa anayoyajua yeye.
 
Ni kwasababu hilo litoto RC linafanya mambo gizani ya hovyo ..
Hasa awamu ya 5, alisimamia operation za kuumiza watu nyingi tuu ..
Najua utasema nitoe ushahidi ..lakini nakwambia DAB alihusika na operation nyingi za hovyo ..ndio maana unaona watu wanafurahi wakisikia na yeye kapatwa na jambo
Mambo ya hovyo pia na ya kudhalilisha watu aliyafanya tangu kipindi cha Kikwete sio awamu ya 5 tu !
 
Naombeni site ya kudownload full movie free za makampuni ya movie kama universal pictures
 
Kuna kesi moja Mbunge alipakia nyara za Serikali kwenye gari yake. (Meno)
Kwenye gari alikuwa yeye (mbunge)
Dereva wake na aliyemwuzia meno ambaye anaenda naye mjini kumlipa pesa yake.
Mwendesha mashtaka aliulizwa na wakili.

Hivi wewe ukiwa kama dereva wa Bosi wako.
Unaweza kumkatalia kupakia mizigo yake kwenye gari yake ?

Mwendesha mashtaka akaulizwa tena.
Hivi ukiomba lifti kwenye gari ya mbunge wako.
Akikukubalia utaanza kukagua alichokipakia ?
Dereva na muuza (meno) wakawa hawana hatia na kuachiwa huru.

Mbunge Akala miaka Saba gerezani akakata rufaa Akala miaka 12. Katoka kakuta mkewe keshaolewa na mtu mwingine.

Je wewe unaweza kumkatalia Bosi wako anapo kutuma?
Namaanisha Mkuu wa nchi.
Hii ngumu kumeza 😎 😎 😎
 
Inaonekana swala la kukuta mke wake kaolewa na mtu mwingine ULIPA UZITO NALO! HIKI KIZAZI HIKI?!
 
Back
Top Bottom