Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
- Thread starter
-
- #41
Kiaje yaaani π€·π½ββοΈππSasa ulitaka akudanganye?
Anaongea udoko mtupuAisee hata sijaelewa,labda unitafsirie
Muone uyu Nae anaongea utumbo ππMko sawa tu akili zenu sema umri ndio tofauti
Wewe n mashavuBora yeye wa 2000, wee ni wa 2010.
Mxxxxiiiieeeew.
Kameogopa kutoa no mbele ya mshikaj Alie mtongoza asubuiAcha kuzubaa sasa chukua hiyo namba
Acha ujinga mkuuππKwa huu muandiko kweli umezubaa
Si ndio πππUnaleta swagga za mtoto kautaka.
Uyo mwalimu nae naruka naeKijana wangu Magical power kumbe ukiacha kwenda shule ndo unakuja kufungua nyuzi humu JF.
Ngoja niongee na waalimu wako waone wakupe adhabu gani.
Kasome kwanza, elimu ni ufunguo wa maishaUyo mwalimu nae naruka nae
Unaleta udokoMbona na wewe kama wa 2000.
Nisha soma mkuu now nipo kitengo na vitoto vya 2000πKasome kwanza, elimu ni ufunguo wa maisha
Kameniudh Sasa kwann apokee no ya mtu ambaye aja mwelewa alafu anatoka uko anakuja nambia eti Ile no ya jamaa nimeitupa ukoππ mm Ina niusu nn mkuuIla mtoa mada itakua umezubaa kweli kwaio ungemwambia sijapenda unakuja kutuambia uku ili tujue umekutana na wa 2000π€§πΉ
Hapana ni Paji la uso.Wewe n mashavu
Mashavu uyooooooo ππHapana ni Paji la uso.
Thubutuuu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mashavu uyooooooo [emoji23][emoji23]