Course Coordinator1
JF-Expert Member
- Mar 20, 2025
- 857
- 2,341
Vizuri sanaPamoja na umaarufu utajiri na network ya wazazi wake ameamua kufanya kazi ya kawaida kabisaaView attachment 3377636
Wilaya ya Korogwe kata ya Mswaha, kwishney.Pamoja na umaarufu utajiri na network ya wazazi wake ameamua kufanya kazi ya kawaida kabisaaView attachment 3377636
Ongera kwa hii kazi ya WEO? Unajuwa Meddy Mpakanjia alishawaachia maisha hawa yeye na kaka yake?Dah kamaliza tu Chuo last year hongera yake mdogo wetu
Najua dogo sio kinyonge yule baba yao mlezi kawalea vizuri, ila mzee baba sisi Wakina maporini 😂tupo hapa tunavyeti kama 10 ndani Ata ubalozi wa nyumba kumi hatunaOngera kwa hii kazi ya WEO? Unajuwa Meddy Mpakanjia alishawaachia maisha hawa yeye na kaka yake?
mbona alikua mtoto sana miaka 25 tu kafariki yule dadaKwenye kijiwe chetu cha kahawa wanakwambia Mama yake alikua mojawapo wa top wa TISS na ndiye amerecruit watu wengi kuingia kitengo
Utakuta hapo una miaka Belo 50 alafu unajiita mzee, kama mtu upo 40-49 huo ni umri wa ubaba sio uzee vijana tuelewaneSasa nimekubali kumbe mimi ni mzee sana
Utajiri gani waliacha zaidi ya ile nyumba pale kijitonyama,magari yalishaozaPamoja na umaarufu utajiri na network ya wazazi wake ameamua kufanya kazi ya kawaida kabisaaView attachment 3377636
Unaposema magari yalishaoza una maana gani,Utajiri gani waliacha zaidi ya ile nyumba pale kijitonyama,magari yalishaoza
Network ni kweli ipo
Kwa umri wake hiyo kazi si haba,atafika mbali
Nimefanya kazi SUKITA, mkuu unamfahamu ni nini?Utakuta hapo una miaka Belo 50 alafu unajiita mzee, kama mtu upo 40-49 huo ni umri wa ubaba sio uzee vijana tuelewane
Network ya madawa ya kulevya ya baba yake au ipi kwasababu hata huyo amina waliofanya nae kazi walishamsahauPamoja na umaarufu utajiri na network ya wazazi wake ameamua kufanya kazi ya kawaida kabisaaView attachment 3377636
Hater kama hater wewe baba yako alikua ana uza nini?Network ya madawa ya kulevya ya baba yake au ipi kwasababu hata huyo amina waliofanya nae kazi walishamsahau
Shirika la uchumi na kilimo Tanzania mkuuNimefanya kazi SUKITA, mkuu unamfahamu ni nini?
Kutokuwa na makuu si sifa nzuri.Pamoja na umaarufu utajiri na network ya wazazi wake ameamua kufanya kazi ya kawaida kabisaaView attachment 3377636
Alafu ni mtu mzima sana ujue yule Nina mzidi miaka miwili tu, nimezaliwa 1989 yeye kazaliwa 1991Dogo ni smart Sana kuna yule kilaza mtoto wa Ruge anagombania matunzo
17 years wakati huo mm😁Kazaliwa 2001 ulikuwa na umri gani? Chief