Mtoto wa Charles Kimei afunga ndoa Jijini Dar. Kweli mjini pesa shikamoo kelele

Undugulization na ukabila kwenye CRDB huwezi kuukwepa..unataka kusema wachapakazi ni wao tu tz nzima..y karibia 80% ya wafanyakazi wa benk hiyo ni wachaga..hili jambo usilitetee hata kidogo.
 
Ndoa maaskofu watatu. Hivi na za waumini wa kawaida huwa zinakuwa hivi? KKKT kwa kupenda wenye pesa tu. Yaani Shoo katoka Kilimanjaro kuja kufungisha ndoa Dar?Ama kweli Yesu peke yake ndo hakuwa mbaguzi.
Ikiitishwa Harambee kanisani unajificha au ukilazimishwa unachangia Jero. Wenzako wanachangia mamilioni halafu mnataka huduma sawa. Pambana na wana VICOBA wenzio huko Kipunguni.
 
Undugulization na ukabila kwenye CRDB huwezi kuukwepa..unataka kusema wachapakazi ni wao tu tz nzima..y karibia 80% ya wafanyakazi wa benk hiyo ni wachaga..hili jambo usilitetee hata kidogo.
Ulishawahi kujiuliza Wanahisa wa CRDB wengi wanatoka kanda gani?
 
Unanyege mama!, karibu. [emoji4]
 
Mimi Kimeo simpendi kwa legacy yake ya ukabila pale crdb. Kuajiri 80% ya wafanyakazi kutoka kaskazini kwenye nchi yenye makabila zaidi ya 120 hana cha kumpongeza.
Asante kwa kuusema ukweli
 
Yamekutoka maneno kama yote[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ulishawahi kujiuliza Wanahisa wa CRDB wengi wanatoka kanda gani?

Kwenye hiyo shareholding structure kuna sehemu unaona wachaga? Mbona wadanishi hawajajaa humo au watumishi kutoka ppf?

Kimei alikua mkabila hilo halina ubishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…