Fursa Pesa
JF-Expert Member
- May 30, 2012
- 4,631
- 3,527
Mojawapo ya matumizi ya pesa ni kupata heshima na faraja kwa kufuata utaratibu mahsusi bila kuvunja sheria au bugudha kwa wengine.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sana mkuu hata kuku wako anakudonoa bila wasiwasi
HahahahaHiyo barua ilivyosainiwa, sidhani hata kama mtia saini alimaliza kuisoma ndio akatia saini, kweli ishi na Watu uvae viatu.
Tafuta pesa ndugu muumini wa Kisemvule B acha kulalama. Usijilinganishe na Mhe. Dr. Kimei (PhD).Ndoa maaskofu watatu. Hivi na za waumini wa kawaida huwa zinakuwa hivi? KKKT kwa kupenda wenye pesa tu. Yaani Shoo katoka Kilimanjaro kuja kufungisha ndoa Dar?Ama kweli Yesu peke yake ndo hakuwa mbaguzi.
Sikupingi mkuu, asilimia kubwa ya employees wa charlie romeo delta bravo ni kina meko
Undugulization na ukabila kwenye CRDB huwezi kuukwepa..unataka kusema wachapakazi ni wao tu tz nzima..y karibia 80% ya wafanyakazi wa benk hiyo ni wachaga..hili jambo usilitetee hata kidogo.Hivi lini ignorance itaisha miongoni mwetu sisi watanzania? Mwenye hii comment unaonekana una kila dalili ya chuki na ukabila, yeyote anaetukuza ukabila na kufanya justification juu ya hilo hasa kwenye hadhara kama hapa hatufai Kwenye jamii.
Uchapakazi, weledi, juhudi na kiu ya maendeleo haina ukabila,dini, rangi au vyovyote vile, bali hii hutokana na silika, kariba, uthubutu na kujituma kwa mtu mwenyewe, anaweza kuwa unatoka kabila lolote lile, au dini yeyote ile nk. Na pia kinyume chake, wapo wachaga walevi na masikini pia, lakini pia wapo wachaga wavivu, na hii ina kuwa applied kwa makabila, dini, na watu wa aina zote.
Mimi sitetei uvivu wa jamii fulani bali natetea utanzania na uhalisia wa mambo yalivyo. Nakushangaa mtoa post unapodhihaki jamii ya watu wa pwani hasa ukiwalenga wazaramo ( "wacheza mdundiko") kuwa ni wavivu wakti kuna waziri ni mzaliwa wa Uzaramuni kabisa Kwala-Samvula Chole (Jaffo Seleiman) anaongoza wizara yake kwa weledi wa hali ya juu kbs pengine kuliko hata baadhi ya mawaziri wengine wanaotoka bara, au kaskazini nk.
CRDB kuna wachaga wengi, kama watu wanavyodai, Yes, inawezekana kutokana na sababu fln fln, lkn uchaga wao siyo uliowapeleka pale, bali walikidhi vigezo. Mtu wa kundi fln anaenda ngomani, Yes, tumthamini pia, kwani ana play part fln mhm kwenye kutunza na kuthamini mila, desturi na tamaduni zetu. La muhimu zaidi yatupasa kujua ni kuwa, maisha lazima yawe balanced, hatuwezi wote kuwa tunafanana kwa kila kitu.
Hitimisho langu ni kwamba, tuwe na deal na mtu kama mtu juu ya uweledi au udhaifu wake, na siyo kufanya mambo ya ku generalize kuhusisha makabila, nk.
Adios!
Ikiitishwa Harambee kanisani unajificha au ukilazimishwa unachangia Jero. Wenzako wanachangia mamilioni halafu mnataka huduma sawa. Pambana na wana VICOBA wenzio huko Kipunguni.Ndoa maaskofu watatu. Hivi na za waumini wa kawaida huwa zinakuwa hivi? KKKT kwa kupenda wenye pesa tu. Yaani Shoo katoka Kilimanjaro kuja kufungisha ndoa Dar?Ama kweli Yesu peke yake ndo hakuwa mbaguzi.
Ulishawahi kujiuliza Wanahisa wa CRDB wengi wanatoka kanda gani?Undugulization na ukabila kwenye CRDB huwezi kuukwepa..unataka kusema wachapakazi ni wao tu tz nzima..y karibia 80% ya wafanyakazi wa benk hiyo ni wachaga..hili jambo usilitetee hata kidogo.
Naomba uendelee kutu update na ukumbini maana sie tulio mbali na upeo wa jiji la daisaama tutashiba kwa macho na wikiendi kuwa murua kabisa.
Hongera kwa wazazi na kijana, binti muolewaji ajiandae kisaikolojia kuishi kwenye ndoa na si kupanga na kudhibiti mali alizonazo mumewe au kumdhibiti mumewe au kumpangia arudi saa ngapi nyumbani.
Mweeh nyege hizi,Hata sijui nimeandika nini wakati.....
Nawatakia maharusi Mahaba telee.
Asante kwa kuusema ukweliMimi Kimeo simpendi kwa legacy yake ya ukabila pale crdb. Kuajiri 80% ya wafanyakazi kutoka kaskazini kwenye nchi yenye makabila zaidi ya 120 hana cha kumpongeza.
Yamekutoka maneno kama yote[emoji3][emoji3][emoji3]Naomba uendelee kutu update na ukumbini maana sie tulio mbali na upeo wa jiji la daisaama tutashiba kwa macho na wikiendi kuwa murua kabisa.
Hongera kwa wazazi na kijana, binti muolewaji ajiandae kisaikolojia kuishi kwenye ndoa na si kupanga na kudhibiti mali alizonazo mumewe au kumdhibiti mumewe au kumpangia arudi saa ngapi nyumbani.
Mweeh nyege hizi,Hata sijui nimeandika nini wakati.....
Nawatakia maharusi Mahaba telee.
HusdaYamekutoka maneno kama yote[emoji3][emoji3][emoji3]
Ulishawahi kujiuliza Wanahisa wa CRDB wengi wanatoka kanda gani?
kwa nn na nyie babu zenu hawakusoma wakakimbilia kuoaMimi Kimeo simpendi kwa legacy yake ya ukabila pale crdb. Kuajiri 80% ya wafanyakazi kutoka kaskazini kwenye nchi yenye makabila zaidi ya 120 hana cha kumpongeza.
Ikiitishwa Harambee kanisani unajificha au ukilazimishwa unachangia Jero. Wenzako wanachangia mamilioni halafu mnataka huduma sawa. Pambana na wana VICOBA wenzio huko Kipunguni.
Mkuu,umeandika point nzuri sana na ni ukweli mtupu. Hawa ndio wanatujengea makanisa,wapewe heshima. |
Ulitaka wajitambushe kama wachaga muwapige pin? Halafu Watumishi PPF ndio wamewekeza pesa zao humo? KalaghabaoView attachment 1194789
Kwenye hiyo shareholding structure kuna sehemu unaona wachaga? Mbona wadanishi hawajajaa humo au watumishi kutoka ppf?
Kimei alikua mkabila hilo halina ubishi.
Undugulization na ukabila kwenye CRDB huwezi kuukwepa..unataka kusema wachapakazi ni wao tu tz nzima..y karibia 80% ya wafanyakazi wa benk hiyo ni wachaga..hili jambo usilitetee hata kidogo.