MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Mtoto wa mchezaji kinda wa Yanga Clement Mzinze (19) (jina kapuni) amepongezwa na ukurasa rasmi wa shule yake kwa kufanya vizuri katika mtihani wa darasa la nne wa katikati ya mwaka kwa kupata A nne na B pekee.Itakumbukwa kuwa mtoto huyu sio wa Kwanza kufanya vizuri, kwani kipindi cha nyuma watoto wa Kaseke na Mohamed Banks wamewahi kufanya maajabu shuleni kipindi cha nyuma.