Mtoto wa Clement Mzinze apasua mtihani wa darasa la nne

Mtoto wa Clement Mzinze apasua mtihani wa darasa la nne

Sidhani kama Wema kafikisha miaka 28. Nimeangalia rekodi kwa sasa ama miaka 24. Bado binti mdogo. Ila ikitokea tukakutana na wema barabarani ama mgahawani ama popote, akitokea kwa bahati mbaya tu akanikonyeza ama kunionyesha ishara yoyote ile namfungulia mashtaka ya udhalilishaji.

Nature 37 wamemzidishia, nature mwaka 2001 anaimba mzee wa busara alikua na miaka 11, sasa hivi 37 kaipataje?
Hahahahah jamaa mnafiki ww
 
Hakuna watu wanajua kudanganya Umri kama Wacheza mpira na Wasanii.

Kweli Wema Sepetu wa kuwa na miaka 28 hadi leo hii [emoji4]

Juma Nature ndiyo wa kuwa na Miaka 37 mtu yupo kwenye usanii tangu miaka ya 90 [emoji848]

Kweli Bongo Nyosso [emoji119]
Nature anaimba akiwa kwenye early twenties mimi niko darasa la pili....leo bwamkubwa ninabibirishana naye umri....[emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Sidhani kama Wema kafikisha miaka 28. Nimeangalia rekodi kwa sasa ama miaka 24. Bado binti mdogo. Ila ikitokea tukakutana na wema barabarani ama mgahawani ama popote, akitokea kwa bahati mbaya tu akanikonyeza ama kunionyesha ishara yoyote ile namfungulia mashtaka ya udhalilishaji.

Nature 37 wamemzidishia, nature mwaka 2001 anaimba mzee wa busara alikua na miaka 11, sasa hivi 37 kaipataje?
[emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Baba wa miaka 19 ana mtoto wa darasa la nne
Ina maana kama mtoto aliaza shule na miaka 6 sasa ana miaka9 na baba yake alimzaa akiwa na miaka 10
Hatariiiii
 
Camavinga je ilisemekana ana miaka 19 siku wanashinda champions League mtoto wake akaingia Uwanjani...baadae akasema mtoto wa Dada yake [emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwanangu msaga sumu tokea limtumboz akate moto unatupunja sana vionjo vyako kama hivi

Maana ulikuwa unampatia sana limtumboz
 
Ubaya miaka haisimami inasonga tu.

Mi ninachoona ili usiwe kwenye hilo wimbi la kupnguza age, fanya mazoezi yatakayokuweka fit.
Mfano huyo mzize ni ubahili tu, ndevu ananyolea kiwembe au saluni uchwara hadi kidevu kinakua kama goti.

Huyo asingekua na kidevu kama goti mngeamini tu kua ni kinda.
 
Duh,hyo shule itakuwa ni mbovu mnooo,je wangekuwa na mtoto wangu aliyegonga A zote wangefanyaje?

Hilo ni tangazo tu kwamba hata watoto wa mastaa wanasoma shule hyo hata kama ni vilaza ili wazazi vilaza wavutike
Hta jf Kuna vilaza
 
Back
Top Bottom